Kampuni ya Ngorika ilikumbwa na nini?

Kampuni ya Ngorika ilikumbwa na nini?

Kuna siku nilishuhidia mubashara basi kati ya Ngorika au Buffalo liki overtake kwenye daraja la mto wami ambapo ni zaidi ya hatari na kinyume cha sheria.

Nikajiuliza na abiria walioko kwenye hilo basi wanajitambua kiasi gani mpaka kukubali mhuni kufanya attempt ya kutaka kuwaua?!
Mkuu darasani ulikuwa unapata ngapi???

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Naambiwa hizi gari zimepaki tu hapo mjini Moshi, yaani ni kama ziko juu ya mawe kwa mujibu wa mdau mmoja aliyekuwa huko Moshi. Hii kampuni ilikumbwa na nini wadau?

Naambiwa hizi gari zimepaki tu hapo mjini Moshi, yaani ni kama ziko juu ya mawe kwa mujibu wa mdau mmoja aliyekuwa huko Moshi. Hii kampuni ilikumbwa na nini wadau?

View attachment 1718039

Naambiwa hizi gari zimepaki tu hapo mjini Moshi, yaani ni kama ziko juu ya mawe kwa mujibu wa mdau mmoja aliyekuwa huko Moshi. Hii kampuni ilikumbwa na nini wadau?

View attachment 1718039
View attachment 1718041
View attachment 1718043

Ngorika baada ya kufa mmiliki( mzee Mberesero) watoto waligawana hizo mali ndo unaona akina Osaka, Kimotco etc. Zipo kampuni kama 4 hivi.

So kampuni inaendelea kwa upande wa kampuni za watoto ila Ngorika kama Ngorika inaonekana kufa.
Osaka Ni mtoto wa ngorika? Sidhani
 
kampuni ipo kwa majina ya watoto

sasa familia ya mberesero inaendelea kutamba kwa kupitia mabus ya watoto kama

freys
osacka raha
kaprikon
safari express
kimotco

huyu mzee kajitahid sana ,huu ukoo ni wa matajiri
ufafanuzi mzuri sana huu lakin kama upo karibu na mmiliki wa kaprikoni mwambie nayakubali sana na huwa napanda kutoka iringa hadi moshi ndo usafiri wangu mwambie aweka gari la moja kwa moja kutoka mbeya hadi moshi maana ni muhuni sana ukipanda mbeya mkifika arusha usiku sa5 anawafaulisha kwenye costa moshi mtafika sa8 usiku na ukipanda moshi ukifika iringa sa2 anawafaulisha kwenye costa kufika mbeya sa9 usiku anaboa sana.
la mwisho mkuu hiyo chura kwenye avatar ni yako kwakweli imenivutia sana
 
Mwanae ndio yule gaidi alikamatwa kenya .wamempiga maisha in prison

Huyo dogo sijui aliwaza nini yani?
Pesa zipo badala ya kukomaa na hela anatafuata misimamo mikali-itakua hayo yaliyobakia ndio yake Noma sana
 
Ngorika Ni kampuni mama. Na ilikuwa inasimamiwa na kaka yao mkubwa anaitwa Steven, ambae alifariki. Utaratibu ulikuwa fedha za ngorika zinagawanywa mwisho wa mwaka kwa watoto wote ambao ndo Hawa wenye Kimotco, Chatco, Osaka, Frays nk. Baada ya kaka mkubwa kufa inaonekana kuna mgogoro uliendelea na kampuni ngorika ikakosa msimamizi wa moja kwa moja
 
Acha kuwa namawazo mgando ya kichadema chadema, nani atakayepanda hayo mangarangara body nyundo wakati kuna basi nyingi nzuri full ac.,!?
Inaonekana chadema inakuwasha sana mpaka katikati ya makalio
 
Back
Top Bottom