Kampuni ya Ngorika ilikumbwa na nini?

Kampuni ya Ngorika ilikumbwa na nini?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
26,534
Reaction score
61,964
Naambiwa hizi gari zimepaki tu hapo mjini Moshi, yaani ni kama ziko juu ya mawe kwa mujibu wa mdau mmoja aliyekuwa huko Moshi. Hii kampuni ilikumbwa na nini wadau?

Adjustments.jpg

Adjustments.jpg

IMG_7366.jpg
 
Kampuni ipo mkuu sema mzee alivyofariki watoto waligawana magari,kila mtu akaandika jina alipendalo like Osaka,safar express,kimotco na mengine nmesahau japo sijajua kwann hayo hapo moshi yamepaki
 
Hayo nadhan ni yale yaliyochoka hayawezi safari ndefu ....mabovu
 
Ngorika baada ya kufa mmiliki( mzee Mberesero) watoto waligawana hizo mali ndo unaona akina Osaka, Kimotco etc. So kampuni inaendelea kwa upande wa kampuni za watoto ila Ngorika kama Ngorika inaonekana kufa.
Huenda likawa jibu sahihi hili!!!SASA kuna wengine sijui wanawashwa kila kitu kulaumu serikali!
 
Kampuni ipo mkuu sema mzee alivyofariki watoto waligawana magari,kila mtu akaandika jina alipendalo like Osaka,safar express,kimotco na mengine nmesahau japo sijajua kwann hayo hapo moshi yamepaki
Mwanae ndio yule gaidi alikamatwa kenya .wamempiga maisha in prison
 
bila shaka haya yaliyopaki apo yatakuwa ya ndugu mmoja talalila hlf hela hana
kampuni ipo kwa majina ya watoto

sasa familia ya mberesero inaendelea kutamba kwa kupitia mabus ya watoto kama

freys
osacka raha
kaprikon
safari express
kimotco

huyu mzee kajitahid sana ,huu ukoo ni wa matajiri
Hii hata mm ndo naijua ila sikufaham kampuni za watoto zaidi ya Kimotco na Osaka.
 
Kuna siku nilishuhidia mubashara basi kati ya Ngorika au Buffalo liki overtake kwenye daraja la mto wami ambapo ni zaidi ya hatari na kinyume cha sheria.

Nikajiuliza na abiria walioko kwenye hilo basi wanajitambua kiasi gani mpaka kukubali mhuni kufanya attempt ya kutaka kuwaua?!
 
Umejibu nje ya mada kabisa.
Kama ni mtihani unaambulia ⁰/100
 
Kuna siku nilishuhidia mubashara basi kati ya Ngorika au Buffalo liki overtake kwenye daraja la mto wami ambapo ni zaidi ya hatari na kinyume cha sheria.

Nikajiuliza na abiria walioko kwenye hilo basi wanajitambua kiasi gani mpaka kukubali mhuni kufanya attempt ya kutaka kuwaua?!

Ulishuhudia halafu huna uhakika wa basi!! Ngorika au Buffalo?? 😂😂😂
 
Kodi kubwa, faini za mizani, tozo mbalimbali, matamko na hatimae Mgogoro wa Uchumi nawaza kwa sauti tu.
Acha kuwa namawazo mgando ya kichadema chadema, nani atakayepanda hayo mangarangara body nyundo wakati kuna basi nyingi nzuri full ac.,!?
 
Kampuni ipo mkuu sema mzee alivyofariki watoto waligawana magari,kila mtu akaandika jina alipendalo like Osaka,safar express,kimotco na mengine nmesahau japo sijajua kwann hayo hapo moshi yamepaki
Mbereselo na kapricon

Watoto wajinga sana
 
Back
Top Bottom