Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,555
- 21,691
Habari,
Nilikopa tigo niwezeshe wiki mbili zilopita kiasi cha sh 300+.
Leo nimerushiwa sh 15000 kwa tigo pesa badala yake wao wamehamisha kiasi hicho na kuwa salio la kawaida ili wakate 345 wanayonidai.
Bado najiuliza kama ingekuwa million moja bado wangefanya hivi?
Kulikuwa na ugumu gani kuondoka kiasi hicho kwenye tigo pesa bila kubadili kiasi chote kilichopo?

Umepokea Tsh 15,000 kutoka kwa Wakala - #########, Salio lako jipya ni Tsh 15,946. Kumbukumbu no.: 191011.0722.C17276204676. 11/10/19 07:22.
Ndugu Mteja, kifurushi chako kimebadilishwa na kuwa salio la Tsh 15,000 ili kuweza kulipia mkopo wako wa Tigo Niwezeshe.
Ndugu Mteja, Tsh 345 imekatwa katika salio lako kulipa mkopo wa Tigo Niwezeshe uliochukua. Piga *149*49# kuangalia mkopo wako.