Kampuni ya mafuta ya Davis Mosha, Kobil Oil imeuzwa rasmi

Ni creatures wa maendeleo
Mfano mosha alianza kuuza karanga hadi Leo ni bilionea
Mengi alianza kuuza biki Leo ni bilionea hiyo ni akili kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app

kuna kitu nyuma yao usione hivyo , baharesa alikuwa anashona viatu leo bilionea wachaga wameshona viatu mimi bado mdogo mpaka leo hoi. kila tajiri kuna kitu nyuma yao


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kuna kitu nyuma yao usione hivyo , baharesa alikuwa anashona viatu leo bilionea wachaga wameshona viatu mimi bado mdogo mpaka leo hoi. kila tajiri kuna kitu nyuma yao


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni mtazamo wako kila mtu hawez kufanya kitu afanikiwe kila mtu Ana akili yake ndio maana chuon kwenye baadhi ya kozi mnaanza 100 Ila mnao graduate ni 30 jiulize 70 wameenda wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hakuna kitu kama kuwa na meli ya kuagiza mafuta Nje. Mfumo wa uagizaji mafuta ulibadilishwa kisheria zaidi ya miaka saba iliyopita. Sasa hivi kuna bulk procurement. Inatangazwa tenda nafikiri kila baada ya miezi mitano. Mzabuni akishinda anaagiza mafuta na wengine wote wenye makampuni ya mafuta wanachukua hapo.

Ukiangalia kibiashara hakuna faida yeyote ya kuwa na meli ya mafuta, na infact wafanyabiashara wa ndani hata kabla ya sheria hiyo hakuna aliyekuwa na meli ya kubeba mafuta na sababu yake ni kuwa haina maana kuwa na meli ya kubeba mafuta wakati huko unakoagiza kuna meli za mafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanaokoteza taarifa kwenye vijiwe vya kahawa na pool table wanaleta humu shida sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma andiko lako kwa umakini nimejikuta nikicheka tena kicheko cha Kinafiki, Sababu ni andiko la kifikirika na la kubuni buni tu kutokana na picha iliyo mbele ya macho yako ukaamua kutubandikia haps mbele yetu. Kwa ufupi ukitaka kujua mmiliki wa kampuni fulani basi unaenda Brella na kujua ni nani mmiliki wz kampuni hiyo. Uwekezaji wa kampuni unaweza kufanywa na mtu yeyote kwa njia yeyote. Mfano Diamond karanga wamiliki wake ni waarabu wapo UAE lakini wametoa trademark kwa Naseeb na wawekezaji wenzake ili waendeshe kwa soko la Tanzania. Kwa kitupi Delina General limited ni wamiliki wa Kobil Tanzania na Kobil Congo. Delina wameamua kupanuabiashara zake kutoka kwenye uhifadhi na uuzaji kwa Tanzania na kuwa Wasambazaji wa Mafuta. Mmiliki wa Delins General Limited Davis Mosha kaagiza Meli kwa ajili ya Kuleta Mafuta Tanzania. Meli yake mwenyewe soon itatua Bongo. Na pia Congo anamiliki kisima kikubwa cha mafuta zaidi ya kile cha kigamboni.

Cha kujua tu ni kuwa "Unaweza kupewa Daladala uendeshe ila kadi ya gari anayo mmiliki wa gari"

Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria za nchi haziruhusu mtu binafsi kuagiza mafuta kwa njia hiyo sasa hivi wanatumia bulk procurement

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom