Kampuni ya mafuta ya Davis Mosha, Kobil Oil imeuzwa rasmi

Siyo kujipanga,siasa baba.Alikuwa mwanasiasa mwenye nguvu na kuogopwa enzi za baba Moi.
Biwott katika Serikali ya Moi ndiye aliyekuwa 'kitchen Minister', alikuwa hapigi sana kelele lakini alikuwa na nguvu kupindukia! Almaarufu total man.

Ameanza kumiliki Kobil nafikiri hata Davis Mosha alikuwa hajaingia mjini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nijuavyo mimi huyo Davis alikodi depot ya world oil kuhifadhia mafuta yake,nijuavyo mimi walikuwa na mgogoro kuhusu pango kati ya bw bulyanguzi ambaye ni Mmiliki wa world oil na huyo daudi mosha
Bulyanguzi ana hela balaa anawakimbiza mpaka akina ASAS, Primefuels road humo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ficha upumbavu wako usifiche hekima zako. Pitia uzi kwanza utajiona ulivyo poyoyo.

Nani alikudanganya herufi za kwanza ndiyo zinaashiria nchi ya kampuni?

Bibi mbona unakimbia swali langu? Je Kampuni ya Total ni ya wapi hasa ukizingatia inaanza na herufi T kama ambavyo ulisema Kampuni ya Kobil ni ya Kenya kwakuwa inaanza na herufi K. Leo bado nipo na Wewe Bibi mpaka uniambie Total ni ya nchi gani na naomba ushirikiano wako wa kunijibu katika hili hadi niridhike kabisa.
 
Sasa na wewe ndo unaongea mambo gani hapa?! Yaani kabisa unaamini watu wanaposema ni ya Kenya ni kwa sababu inaanzia na herufi K?!

Ndo yale yale ya mwenzako luambo makiadi kwamba eti tunaona wivu kwa sababu Mosha ni Mchaga na kama ni ya Kenya mbona magari yake yana plates number za Tanzania!!!

FaizaFoxy amekuteua lini uwe Msemaji wake rasmi hapa?
 
Bibi mbona unakimbia swali langu? Je Kampuni ya Total ni ya wapi hasa ukizingatia inaanza na herufi T kama ambavyo ulisema Kampuni ya Kobil ni ya Kenya kwakuwa inaanza na herufi K. Leo bado nipo na Wewe Bibi mpaka uniambie Total ni ya nchi gani na naomba ushirikiano wako wa kunijibu katika hili hadi niridhike kabisa.
Total wale ni wafaransa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma andiko lako kwa umakini nimejikuta nikicheka tena kicheko cha Kinafiki, Sababu ni andiko la kifikirika na la kubuni buni tu kutokana na picha iliyo mbele ya macho yako ukaamua kutubandikia haps mbele yetu. Kwa ufupi ukitaka kujua mmiliki wa kampuni fulani basi unaenda Brella na kujua ni nani mmiliki wz kampuni hiyo. Uwekezaji wa kampuni unaweza kufanywa na mtu yeyote kwa njia yeyote. Mfano Diamond karanga wamiliki wake ni waarabu wapo UAE lakini wametoa trademark kwa Naseeb na wawekezaji wenzake ili waendeshe kwa soko la Tanzania. Kwa kitupi Delina General limited ni wamiliki wa Kobil Tanzania na Kobil Congo. Delina wameamua kupanuabiashara zake kutoka kwenye uhifadhi na uuzaji kwa Tanzania na kuwa Wasambazaji wa Mafuta. Mmiliki wa Delins General Limited Davis Mosha kaagiza Meli kwa ajili ya Kuleta Mafuta Tanzania. Meli yake mwenyewe soon itatua Bongo. Na pia Congo anamiliki kisima kikubwa cha mafuta zaidi ya kile cha kigamboni.

Cha kujua tu ni kuwa "Unaweza kupewa Daladala uendeshe ila kadi ya gari anayo mmiliki wa gari"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nijuavyo Kobil ni kampuni ya Kenya na huyo itakuwa ni wakala (franchise).
Mmiliki wa Kobil Tanzania ni Davis Moshs, Na mmiliki wa Kobil Congo ni Davis Mosha, Kilichofanyika ni Davis kupunguza Stres za biashara ya Mafuta na amemkodishia Puma vituo vyake vyote kwa muda kulingana na mkataba kati yake na Puma. Ndio maana ukiangalia Kobil Kigamboni hakuamua kuikodisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma andiko lako kwa umakini nimejikuta nikicheka tena kicheko cha Kinafiki, Sababu ni andiko la kifikirika na la kubuni buni tu kutokana na picha iliyo mbele ya macho yako ukaamua kutubandikia haps mbele yetu. Kwa ufupi ukitaka kujua mmiliki wa kampuni fulani basi unaenda Brella na kujua ni nani mmiliki wz kampuni hiyo. Uwekezaji wa kampuni unaweza kufanywa na mtu yeyote kwa njia yeyote. Mfano Diamond karanga wamiliki wake ni waarabu wapo UAE lakini wametoa trademark kwa Naseeb na wawekezaji wenzake ili waendeshe kwa soko la Tanzania. Kwa kitupi Delina General limited ni wamiliki wa Kobil Tanzania na Kobil Congo. Delina wameamua kupanuabiashara zake kutoka kwenye uhifadhi na uuzaji kwa Tanzania na kuwa Wasambazaji wa Mafuta. Mmiliki wa Delins General Limited Davis Mosha kaagiza Meli kwa ajili ya Kuleta Mafuta Tanzania. Meli yake mwenyewe soon itatua Bongo. Na pia Congo anamiliki kisima kikubwa cha mafuta zaidi ya kile cha kigamboni.

Cha kujua tu ni kuwa "Unaweza kupewa Daladala uendeshe ila kadi ya gari anayo mmiliki wa gari"

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hakuna kitu kama kuwa na meli ya kuagiza mafuta Nje. Mfumo wa uagizaji mafuta ulibadilishwa kisheria zaidi ya miaka saba iliyopita. Sasa hivi kuna bulk procurement. Inatangazwa tenda nafikiri kila baada ya miezi mitano. Mzabuni akishinda anaagiza mafuta na wengine wote wenye makampuni ya mafuta wanachukua hapo.

Ukiangalia kibiashara hakuna faida yeyote ya kuwa na meli ya mafuta, na infact wafanyabiashara wa ndani hata kabla ya sheria hiyo hakuna aliyekuwa na meli ya kubeba mafuta na sababu yake ni kuwa haina maana kuwa na meli ya kubeba mafuta wakati huko unakoagiza kuna meli za mafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nijuavyo mimi huyo Davis alikodi depot ya world oil kuhifadhia mafuta yake,nijuavyo mimi walikuwa na mgogoro kuhusu pango kati ya bw bulyanguzi ambaye ni Mmiliki wa world oil na huyo daudi mosha

siyo bulyanguzi ni bidyanguze , jina kamili gervas bidyanguze muha wa kigoma ... pesa zao hawa ni tangu mkoloni . hazina mkono mchafu .
 
Back
Top Bottom