Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,646
- 44,227
Nimesoma andiko lako kwa umakini nimejikuta nikicheka tena kicheko cha Kinafiki, Sababu ni andiko la kifikirika na la kubuni buni tu kutokana na picha iliyo mbele ya macho yako ukaamua kutubandikia haps mbele yetu. Kwa ufupi ukitaka kujua mmiliki wa kampuni fulani basi unaenda Brella na kujua ni nani mmiliki wz kampuni hiyo. Uwekezaji wa kampuni unaweza kufanywa na mtu yeyote kwa njia yeyote. Mfano Diamond karanga wamiliki wake ni waarabu wapo UAE lakini wametoa trademark kwa Naseeb na wawekezaji wenzake ili waendeshe kwa soko la Tanzania. Kwa kitupi Delina General limited ni wamiliki wa Kobil Tanzania na Kobil Congo. Delina wameamua kupanuabiashara zake kutoka kwenye uhifadhi na uuzaji kwa Tanzania na kuwa Wasambazaji wa Mafuta. Mmiliki wa Delins General Limited Davis Mosha kaagiza Meli kwa ajili ya Kuleta Mafuta Tanzania. Meli yake mwenyewe soon itatua Bongo. Na pia Congo anamiliki kisima kikubwa cha mafuta zaidi ya kile cha kigamboni.
Cha kujua tu ni kuwa "Unaweza kupewa Daladala uendeshe ila kadi ya gari anayo mmiliki wa gari"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mambo ya kila mtu kuingiza mafuta yake yameisha miaka mingi sasa. Mafuta yananunuliwa kwa pamoja mkuu