mapinduzi daima
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,725
- 2,703
Salute kwenu Comrades!
Mapambano ya kujenga Nchi mpya yanaendelea.
Tunahitaji kampuni ambayo ina uzoefu wa kufunga Mfumo wa Uhasibu wa EPICOR kwa Taasisi za Serikali.
Tafadhali mwenye ufahamu au ana kampuni husika kwa ajili ya kazi hiyo TUWASILIANE.
Ahsanteni.