Kampuni ya globalpublishers kusimamisha uzalishaji wa magazeti Januari 2021

Huyu jamaa anakwenda na kasi ya dunia.Huko tunakokwenda kila kitu kitakuwa kiganjani-digital world.so ameitime time kabla time haijamtime yeye

Hongera kwako Eric.

Sema ajira za masales man kwish kazi

na wale wenzangu ni mimi wa kurekebisha mitambo ya kichapishia kazi kwa heri.waliokiwa wana suply wino na makaratasi tutaonana kunako majariwa

Hii ndiyo habari ya mafundisho ya Mwl.Mwakasege ya MSIMU MPYA

Kama Una link ya Mwakasege kuhusu msimu mpya iweke please
 
Binafsi sijawahi kutoa hela yangu kununua gazeti, simu janja zinarahisisha sana upatikanaji wa taarifa siku hizi. Natanguliza pole kwa wote watakaoathirika moja kwa moja na katizo hilo la uzalishaji.
 
Globalpublushers waanzishe magazeti yenye kutumia lugha ya Kiingereza hard copies and online soft copies soko bado lipo.
 
Mimi nashukuru siingii huko. Maana unaweza kuwa hooked.Safari moja ikaanzisha nyingine.

These days YouTube channels ndo zina take over..so kuwakwepa ngumu
Unaweza anza na channels zingine ukashangaa upo kwingine
 
Nakumbuka enzi hizo nipo bado chalii napita zangu mitaa ya Mwenge niende skonga, nikajisogeza kwenye meza ya magazeti kupitia vichwa vya habari, nasoma gazeti la Maisha namkuta dada yangu kipenzi kwenye ukurasa wa mbele, nikafurahi sana, nikatoa sh. 100 nikanunua gazeti lile (ndio gazeti langu la kwanza kununua) niliporudi jioni nikakuta home walinunua na wao, basi lile gazeti lilikua kwenye maktaba yangu kwa miaka mingi,

Nawaombea kheir kwenye hatua yao nyingine, global publishers.
 
These days YouTube channels ndo zina take over..so kuwakwepa ngumu
Unaweza anza na channels zingine ukashangaa upo kwingine
Wanachangamkia ad dollars, I hope mitandao imerudi kama kawaida sasa, hapa katikati waliwaharibia sana watu wenye hizi biashara.
 
Nakumbuka enzi hizo nipo bado chalii napita zangu mitaa ya Mwenge niende skonga, nikajisogeza kwenye meza ya magazeti kupitia vichwa vya habari, nasoma gazeti la Maisha namkuta dada yangu kipenzi kwenye ukurasa wa mbele, nikafurahi sana, nikatoa sh. 100 nikanunua gazeti lile (ndio gazeti langu la kwanza kununua) niliporudi jioni nikakuta home walinunua na wao, basi lile gazeti lilikua kwenye maktaba yangu kwa miaka mingi,

Nawaombea kheir kwenye hatua yao nyingine, global publishers.
Bila Shaka kipindi icho ulikuwa hujaanza ile tabia mbaya ya kujifanya mashine ya kusaga

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Global Publishers Logo
×
Global Publishers Logo

atrium

BREAKING NEWS

Kuanzia Januari Mosi, 2021 magazeti pendwa yote ya Global Publishers yatapatikana kupitia mtandaoni pekee.
Hakikisha una Dowload Application yako ya Global Publishers sasa ili ujisomee hadithi uzipendazo na habari za magazeti ya Uwazi, Ijumaa Wikienda, Risasi na Amani BURE kwa mwezi mzima!

Baada ya OFA hii, utayasoma kwa bei rahisi ya shilingi 300 tu kwa nakala popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania, kupitia Global App au website
Ubunge mtamu bwashee!
 
Mbio za teknolojia
Usipoenda nayo hiari itakuzoa na kukubeba kwa lazima
Nimesikia awamu hui hata serikali imejipanga sana kuwekeza kwenye TEHAMA lakini cha ajabu wametunga sheria ngumu sana za mitandao sasa sijui watawekezaje
 
Huyu jamaa anakwenda na kasi ya dunia.Huko tunakokwenda kila kitu kitakuwa kiganjani-digital world.so ameitime time kabla time haijamtime yeye

Hongera kwako Eric.

Sema ajira za masales man kwish kazi

na wale wenzangu ni mimi wa kurekebisha mitambo ya kichapishia kazi kwa heri.waliokiwa wana suply wino na makaratasi tutaonana kunako majariwa

Hii ndiyo habari ya mafundisho ya Mwl.Mwakasege ya MSIMU MPYA
Kasi gani? Mpaka sasa Newyork times na Washington post yana patikana kwa hardcopy tena kwa wingi sana,
 
Back
Top Bottom