Kampuni ya globalpublishers kusimamisha uzalishaji wa magazeti Januari 2021

Kasi gani? Mpaka sasa Newyork times na Washington post yana patikana kwa hardcopy tena kwa wingi sana,
Sawa,kaulize ni kwa kiasi gani hayo makapuni yategemea kujiendesha kwa kuuza mageziti.Kuna kitu kinaitwa "business model" ya print media.hii ni elimu nyingine.
nakuhakikishia print media zote zitazo endelea kwa utaratibu uleule wa miaka 5 iliyopita wataingia kwenye madeni makubwa yatakayoshindwa kulipika
 
Global Publishers Logo

Kuanzia Januari Mosi, 2021 magazeti pendwa yote ya Global Publishers yatapatikana kupitia mtandaoni pekee.
Hakikisha una Dowload Application yako ya Global Publishers sasa ili ujisomee hadithi uzipendazo na habari za magazeti ya Uwazi, Ijumaa Wikienda, Risasi na Amani BURE kwa mwezi mzima!

Baada ya OFA hii, utayasoma kwa bei rahisi ya shilingi 300 tu kwa nakala popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania, kupitia Global App au website
Yaani SheGongo baada ya kupata ubunge ameamua kuacha kuuza magazeti? Sasa wamama watafungia vitumbua/maandazi/mihogo/viazi na nini?
 
jamaa alianzisha kampuni akaajiri wengi,miongoni mwao watapoteza ajira haya mabadiliko noma sana
 
Global Publishers Logo

Kuanzia Januari Mosi, 2021 magazeti pendwa yote ya Global Publishers yatapatikana kupitia mtandaoni pekee.

Hakikisha una Dowload Application yako ya Global Publishers sasa ili ujisomee hadithi uzipendazo na habari za magazeti ya Uwazi, Ijumaa Wikienda, Risasi na Amani BURE kwa mwezi mzima!

Baada ya OFA hii, utayasoma kwa bei rahisi ya shilingi 300 tu kwa nakala popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania, kupitia Global App au website

Shigongo alisha pewa ubunge?
 
Hatari ni nayoiona ni kuwa na jamii ambayo upo half informed...
Gazeti ni reference na hutoa habari kwa ndani..
Hata huko online wasopopata viewers wa kutosha ku cover marketing costs watafunga
 
Back
Top Bottom