Masikitiko makubwa ni kwamba wakati kampuni za magazeti zikiwa katika hali ya taharuki ya kushuka kwa biashara, mambo sio mazuri kampuni ya Business Times. Wafanyakazi sasa wamegeuzwa manamba na kumekuwa na impunity kubwa ya familia ya mmiliki wake. Ukidai chako basi unatishiwa, chama cha wafanyakazi ambacho kilitetea maslahi nacho kimeuawa kwa hila ya mmiliki. Nusu ya wafanyakazi ni ndugu ambao wamemaliza darasa la saba wanapewa kazi kiujanjaujanja ikiwemo masuala ya fedha...