Kampuni ya Bombardier imeuzwa kwa Airbus

Kampuni ya Bombardier imeuzwa kwa Airbus

Si kweli kuwa imeuzwa bali wameingia partenership kwenye utengenezaji wa Jet toleo la C-Series Jets.

Umeisoma vibaya, wameuza 50 % stake kwenye lucrative C series production gone to US, na in future watapewa cash if the business become profitable, the management and decision making all will be done in Europe not in Canada, sold and gone,

The first of which to open up a new factory in Alabama US, the financier is AiRBUS..

Yale mapanga boy bado wanayahimili, who would want those, yanaunguza mafuta balaaa..
 
Wameandika C series ndio imeuzwa sio bombadier yote. Au sijaelewa vizuri lugha ya malkia
 
Fafanua kidogo.
Maana Boeing ina mabiashara makubwa kibao.
Airbus no number 1 kwa sasa katika aero marketing.Si wameongeza investment thats all,wanaongeza nguvu kazi.
 
Kuhusu mkataba wa Bombandier na Tanzania wala hakuna shida.

Itakuwepo risks za hapa na pale, never knows production might be delayed or any legality might pop up here and there,

I’m sure Boeing primary intention to ground bombardier for good, it is all about monopoly, the decision by bombardier to open up a factory in the backyard of Boeing in US, sure won’t go unchallenged either,

The successful of their initial lawsuit brought the result of sale of the Bombardier to AIRBUS,

Airbus intention is to break the market in US, they might see the sale of bombardier is to achieve just that, and they wouldn’t careless about our order., capture the know how and formulate all new business and product, C series bombardier might be called C Series Airbus, who knows?

Litigate the business and that will be that, the money is gone, this is how western business operates!

It is all about Mulla and Monopoly
 
Boeing wajiandae,Air bus itaendelea kuwaachia vumbi kwenye Business ya ndege.
Watakufa ki vip wakati kila kukicha wanaingia mult-billion defence contracts na Pentagon.Boeing wako njema sana mkuu.Uzuri wao production line yao imeenda hadi kwenye defense weapons.Wako vizuri.
 
Watakufa ki vip wakati kila kukicha wanaingia mult-billion defence contracts na Pentagon.Boeing wako njema sana mkuu.Uzuri wao production line yao imeenda hadi kwenye defense weapons.Wako vizuri.

And that’s the problem Mkuu, defence is very lucrative but has its limit, commercial airline business where the real innovation, money and so on is...

The AIRBus too smart to make a move before Boeing could torpedo bombardier upside down, now airbus all over sudden have a huge stake in the business of commercial airline in US,

Where would the Boeing sell their commercial flights ? That’s the big question Mkuu

And who told you the Airbus won’t fight for the army contracts in US.. once they intend to poke their nose by building a new factory in US for bombardier aka Airbus
 
Boeing wajiandae,Air bus itaendelea kuwaachia vumbi kwenye Business ya ndege.
Orders and Deliveries by Product
Manufacturer Class Product 2016 Historical Deliveries *
Orders
Deliveries Backlog
Airbus [79]
Narrow-body A320 607 545 5645 7421
Wide-body A300 561
A310 255
330 83 66 363 1323
A340 377
A350 41 49 754 64
A380 28 112 207
Total 731 688 6874 10208

Boeing [80]
Narrow-body 707 1010
717 155
727 1831
737 550 490 4452 9335
757 1049
Wide-body 747 17 9 28 1528
767 26 13 93 1096
777 17 99 442 1460
787 158 137 700 500
Total 668 748 5715 17964

* Historical deliveries are all jet airliners from Boeing since 1958 and Airbus since 1974 until 31 December 2016
 
Wameandika C series ndio imeuzwa sio bombadier yote. Au sijaelewa vizuri lugha ya malkia

Umeilewa vizuri Mkuu, Yaani kama Bakhresa kuuza kiwanda cha juice kwa kampuni ya nje na makapi yake kuwaachia wenyewe bakhresa, labda kuwauzia mifugo.. not viable company anymore in business sense.

Ndicho kilichotokea hapa, yale mapanga boy wameachiwa wenyewe bombardier to die with them, ile c series and know how wameuza kwa Airbus..
 
Watakufa ki vip wakati kila kukicha wanaingia mult-billion defence contracts na Pentagon.Boeing wako njema sana mkuu.Uzuri wao production line yao imeenda hadi kwenye defense weapons.Wako vizuri.
Sijasema watakufa,nimesema Air bus watazidi kuwaoutshine Boeing.
 
Watakufa ki vip wakati kila kukicha wanaingia mult-billion defence contracts na Pentagon.Boeing wako njema sana mkuu.Uzuri wao production line yao imeenda hadi kwenye defense weapons.Wako vizuri.
Hao Boeing mpaka leo hawajapata akili ya kuioutshine Airbus 380.
 
Swala la msingi Muheshimiwa Majaliwa akifika Canada aongea na Bombardier kupata some sort of assurance in writing kwamba watatimiza order yao, au kama change yetu Ndio imeshatoka warudishe Mulla yetu,

I’m sure pesa imeganda haina return yoyote ile, na hivi sasa wamekiweka kile kindege chetu kule garage, watakwambia wanawacharge storage, security na maintenance cost, the cost of which will be covered by the money spent on purchasing the planes at first place.

Soon tutaambiwa tuongeze pesa,

I know a business return of 12% a year on investment of 200m dollars, that’s an incredible 24m $ a year gross profit,

Why wasting money on bombardier while we could easily get a return somewhere else easily !

A. We are not sure as to when the factory will be up for operation in US, and that wasn’t part of initial agreement, if there is violation of any of this, demand the Mulla back.

B. We don’t know the time frame of delivery of the remaining units.

C. Given complication of our own predicament on previous contracts, the government entered with international companies, now kindege kimezuiwa, therefore this is the only chance to demand or salvage the remaining money from bombardier ..

All I can say they need a good lawyer

Nisiseme sana mara paaap!

Wacha tumuuguze Lissu kwanza.
 
Bila shaka ndege zetu hazitaathirika na uuzwaji huo!! I have no doubt wamenunua assets and liabilities!!

But look, si kwa miaka nenda rudi sasa Afrika tumekuwa tukilalamikia "unfair" agricultural subsidies zinazofanywa na mataifa makubwa kwa wakulima wao?! Kwanini basi na sisi tusifungue mashauri rasmi dhidi ya mataifa haya badala ya kuendelea kulalamika kwamba kuuza kwenye masoko ya mataifa makubwa ni ngumu kwa sababu mataifa haya yanatoa ruzuku kwa wakulima wao!!!
Uko sahihi sana mkuu, Tatizo ni nani mwenye ubavu kwa sasa, wa kuweza kuwashikia bango wale wale wanaotoa vimisaada vidogovidogo?. Afrika kwa sasa imebaki na Mgabe pekee anayewakabili bila kumung'unya maneno. Kwa hapa kwetu baada ya Nyerere namuona JPM akija kwa mbali, Mkapa aliwahi kujaribu lakini aliishia kubainisha uwepo wa tatizo hadi leo.
 
Back
Top Bottom