simba songea
JF-Expert Member
- Feb 8, 2016
- 1,496
- 1,219
Itakuwa vizuri maana airbus wamedelop more than bombardier
bawacha najua hujaelewa kilicho andikwa hahahaha pole sanaCCM watamsingizia TUNDU LISSU sasa!
Kasome taratibu za kununua kampuni> pole sanaTumesha liwa.... Sijui wataenda kumdai nn wakati management ya bombadier wamesha futiwa kazi, ndiyo walioingia nao mkataba
Hata mimi nikadhani imeuzwa TOTALLYSi kweli kuwa imeuzwa bali wameingia partenership kwenye utengenezaji wa Jet toleo la C-Series Jets.