NOKIALUMIA
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 397
- 280
We ushatoboa??Vijana mtachelewa Sana kutoboa kwa sabab ya kamali
Michezo yote ya kubeti ni wizi wa kawaida. Ushaambiwa ni michezo ya kubahatisha japo hawataki kusema ukweli ni ya kubabaisha. Hakuna cha utapeli au nini wote ni wezi tuNdugu zangu, hasa wale wanacheza michezo ya kubahatisha, kampuni hii ya Betika ni matapeli lakini Bodi ya Bahati Nasibu bado ina wacheki tu.
1. Kampuni inaruhusu kudeposit tu! Hata milioni we deposit ila kutoa hela hairuhusu hata siku moja...
Kitambo sanaWe ushatoboa??
mbona hua tunashinda sasa mindset zako ni za hovyo kweli 😂😂Ujinga wenu kudhania mtatoka kwa michezo ya kamali; hakuna hata siku moja utakuja fanikiwa bila kufanya kazi na eti ukategemea hiyo michezo!!! Utapewa tamaa tu kuwa siku moja utakuja pata JACKPOT na hiyo siku haitakuja kamwe!!! Zinduka acha ujinga wa kuwatajirisha matapeli.
Sio kila anayecheza kamari hana kazi ndugu acha kukariri..Ujinga wenu kudhania mtatoka kwa michezo ya kamali; hakuna hata siku moja utakuja fanikiwa bila kufanya kazi na eti ukategemea hiyo michezo!!! Utapewa tamaa tu kuwa siku moja utakuja pata JACKPOT na hiyo siku haitakuja kamwe!!! Zinduka acha ujinga wa kuwatajirisha matapeli.
Wacheza kamali wengi ni deviants!!! Some are addicted to gambling hence they are sick and need help!!Sio kila anayecheza kamari hana kazi ndugu acha kukariri..
mbona hua tunashinda sasa mindset zako ni za hovyo kweli 😂😂
Jadili hoja mkuu.Ujinga wenu kudhania mtatoka kwa michezo ya kamali; hakuna hata siku moja utakuja fanikiwa bila kufanya kazi na eti ukategemea hiyo michezo!!! Utapewa tamaa tu kuwa siku moja utakuja pata JACKPOT na hiyo siku haitakuja kamwe!!! Zinduka acha ujinga wa kuwatajirisha matapeli.
Jadili hoja mkuu.
Kamari ipo na itakuwepo na wa kubeti atabeti.
Hatuwezi kufanana mtazamo Wala kuwaza kunakofanana. Ndivyo maisha yalivyo.
Kumbuka kuna watu wanasomesha watoto na kujenga kwa kamari. Wengine Ni kazi.
Ni wivu tuWewe mbwiga kwa ujumla wenu wacheza kamali mgekuwa mnashinda; hawa matapeli wangekwisha funga hayo maduka yao kwani wangekuwa wanapata hasara!! Serikali inawaruhusu hawa matapeli kuwafilisi wananchi na kutorosha fedha nje ya nchi kwa kuamini kuwa eti wanapata kodi!! Hiyo kodi wanayopata is insignificant ukifananisha na jinsi Wananchi wanavyofukarika na jinsi haya makuka ya kamali yanavyotumiwa kutorosha fedha ambayo ingetumika hapa nchini!!
Ni wivu tu
Sawa MjanjaWivu kwa nyinyi wajinga kuibiwa na wajanja?
Ni kweli bhna kamali ni dhambi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kwanza kamli Dhambi