kampuni ya barabara Mafia ni fisadi?

kampuni ya barabara Mafia ni fisadi?

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2009
Posts
2,653
Reaction score
270
Kila siku utaona barabara kisiwani mafia inajengwa, baya zaidi inajengwa kwa kutumia dongo, ikija mvua kidogo inchimbika na baadae kampuni inachukua fedha na kujenga kwa dongo jepes. zaidi ya miak 15 kazi ndio hiyo huku ammmilion ya fedha yakiteketea. kampuni hiyo ni ya nani au ndio ya mzee wa EPA. MWENYE MCHANGO ATUSAIDIE
 
Inasemekana MzeewaHoja anamiliki asilimia 60 % kwenye kampuni hiyo. Nashangaa kwanini serikali inamwangalia tu na hamchukulii hatua yoyote. Mbaya sana hii.
 
Back
Top Bottom