snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,523
- 2,164
Nyie ongeeniii Ila mpaka mwisho baba Apple yupo pale alipoamka wako ndo wanalala
Ulitaka kumaanisha nini ?
Nyie ongeeniii Ila mpaka mwisho baba Apple yupo pale alipoamka wako ndo wanalala
Nokia kuua OS ya Symbian walaamiwe sana, mpaka sasa hakuna phone OS niliyoikubali kama Symbian OS
Device zilikuwa powerful kivipi mkuu!!? mfano mdogo Nokia C7 ilikuwa na 256MB RAM, 680 MHz ARM 11 CPU na bado device ilikuwa ina-run smooth. Au wewe unaposema device zilkuwa powerful unamaanisha nini?Device zilikuwa powerfull lakini zilikuwa slow.
in apps waliwin sana we can call it dead android OS.
Device zilikuwa powerful kivipi mkuu!!? mfano mdogo Nokia C7 ilikuwa na 256MB RAM, 680 MHz ARM 11 CPU na bado device ilikuwa ina-run smooth. Au wewe unaposema device zilkuwa powerful unamaanisha nini?
nimesema hapo juu ni opinion tu kama unaamini simu ambayo haina browser ni smartphone then its up to you. wapo wanaoamini ilikuwa smartphone na sana ni sababu ya touchscreen. kwenye ibm simon hata ulikuwa huwezi kutengeneza file la word au excel.GSM nao wanakubaliana kwamba Simon ilikuwa ndiyo the first smartphone.
angalia hapa The worlds first smartphone is now two decades old - GSMArena.com news
walitoa habari yenye heading kwamba Simon ni the first smartphone ikiwa inasheherekea miaka 20
Huu ni uongo, mana Wikipedia wenyewe ulionipa hiyo link wanadai ulikuwa unaweza kutuma email, jaribu kuwa unazisoma vizuri link zako ambazo huwa unazitoa, hii itakusaidia sana.
Wikipedia - Iaddition to its ability to make and receive cellular phone calls, Simon was also able to send and receive faxes , e-mails and cellular pages . Simon featured many applications including an address book, calendar, appointment scheduler, calculator, world time clock, electronic note pad, handwritten annotations and standard and predictive stylus input screen keyboards.
GSMhistory na Arena wana uhusiano, kwahiyo nivip watoe habari kwamba first word smartphone inatimiza miaka 20 ? ambayo ni simon unayoipinga hapa.
nimesema hapo juu ni opinion tu kama unaamini simu ambayo haina browser ni smartphone then its up to you.
wapo wanaoamini ilikuwa smartphone na sana ni sababu ya touchscreen.
kwenye ibm simon hata ulikuwa huwezi kutengeneza file la word au excel.
feature zote hizo kaka bila browser haiifanyi iwe smartphone. nikuulize swali nokia asha haiwezi fanya hayo mambo asha ni smartphone?
na ukumbuke ibm simon ilikuwa uinategemea dock ambayo ni weakness nyengine kubwa, inafanana na computer zaidi kuliko simu
![]()
pia nakupa assignment uniambie ilikuwa inareceive vipi hizo cellular page
kaka gsmarena ni kampuni ya bulgaria huko wakati gsmhistory imetengenezwa na prof mmoja mkali sana anaitwa stephen temple toka uingereza. jamaa ameshiriki kwenye mapinduzi ya gsm, ni mmoja wa watengenezaji wa dvb (kama una ungo au king'amuzi you owe him) na mambo mengine kibao msome zaidi hapa
About | Stephen Temple
sisi ni binadamu tuna akili za kureason si kila tunachoambiwa tunatakiwa kukikubali bila kufikiria. kuna watu wanasema iphone ndio smartphone ya kwanza wewe umepinga kwa reason zako na mimi napinga kwa reason zangu kuwa ibm simon haikuwa smartphoneIts up to me, ndio lakini usi dosagree from reality.
tofauti kubwa ya smartphone na feature phone ni kwamba feature phone haziwezi kujiongezea uwezo tofauti na vitu inavyokuja navyo, wakati smartphone inajiongezea uwezo. mfano nokia ya kitochi na galaxy s6 zote hazina uwezo wa kutafuta satelite kwa ajili ya mafundi ungo ukizinunua, lakini mwenye s6 yeye ataenda playstore atadownload app na kujipa uwezo huo wakati wa kitochi hawezi.Sasa hapa una compare na simu za siku hz, na hili ndilo tatizo, smartphone sio kwamba inaweza kufanya mambo yote ambayo pc inafanya.
kwa kipindikile iliyokuwa inayafanya ilikuwa ni tosha sana kuiita smartphone.
umesema pale kuwa ilikuwa haiwezi kutuma email, sasa umejua kuwa ulikuwa muongo, na hayo ni baadhi tu ya mambo ambayo yaliifanya iitwe smartphone.
simaanishi kwamba kila simu inayotuma email ni smartphone, ila smartphone inatuma email.
mi nimesema haina browser hivyo hutaweza fanya mengi. yes inakuja na mail app je akitoka email provider mwengine anaetumia technology tofauti na huna browser ya kudownload app ya huyo provider mpya utafanya nini? tutazunguka kule na huku ila utaruddi pale pale bila browser huwezi kuwa smart.Muda wakukaa kugoogle kuhusu hili sina, mana wote hatujawahi kuigusa.
chamsingi ni kwamba link uliyotoa imesema haya, tatizo lako ni kutosoma vizur link unazotoa.
nahisi hata maana ya gsm hujui ni nini. gsm maana yake ni global system for mobile communication. ni hizi teknolojia tunazoita 2g, 3g, 4g. haimaanishi watu wote wanaotumia neno gsm basi wote ni ndugu.Wote si ni GSM lakini kama ulivyosema pale juu, ni sawa na tuseme kama alivyo microsoft na skype au fb na whatsapp.
kuwa ibm simon haikuwa smartphone
yofauti kubwa ya smartphone na feature phone ni kwamba feature phone haziwezi kujiongezea uwezo tofauti na vitu inavyokuja navyo, wakati smartphone inajiongezea uwezo.
same kwa ibm yenyewe haikuwa na uwezo wa kujiongezea chochote inavyokuja navyo ndio hivyo hivyo,
na ukumbuke kipindi cha miaka ya 90 term smartphone haikuwepo kabisa.
tunachofanya hapa na duniani kote ni kujaribu kurudisha muda nyuma kurelate kama zile simu za zamani zilikuwa tayari zimefika level ya smartphone.
mi nimesema haina browser hivyo hutaweza fanya mengi. yes inakuja na mail app je akitoka email provider mwengine anaetumia technology tofauti na huna browser ya kudownload app ya huyo provider mpya utafanya nini? tutazunguka kule na huku ila utaruddi pale pale bila browser huwezi kuwa smart.
unachosema wewe ni kama jamiiforums, mwanahalisiforums, maishaforums na mzalendoforums zote ni za mtu mmoja sababu zina neno forums kwa mbele.
gsmarena kama nilivyokwambia ni website ya bulgaria na gsmhistory imetengenezwa na prof wa uingereza ambaye ameshiriki kwenye mapinduzi haya ya gsm yaani 2g, 3g na 4g.
Nokia kuua OS ya Symbian walaamiwe sana, mpaka sasa hakuna phone OS niliyoikubali kama Symbian OS
western media unamaanisha ndio dunia? nimekupa link hapo juu mwanzo mwisho inaelezea communicator muulize mtu yoyote duniani simu bila browser na mobile data inaweza kuwa smart? wewe mtu mzima unafikiri na unaelewa jibu lipo wazi hapo.Hili swala ni dunia nzima inalitambua, na ni swala ambalo halipingiki with word most validated facts.
then futa hio dhana sababu even computer yenye xeon core 18 na ram 512gb bila kuwa na software ni useless na haiwezi kuwa smart. na ili iwe na software inabidi kuwe na means za developer kutengeneza ili mtu aweze kuziweka hizo software. inamaana gani kuwa na computing ability bila kuwa smart?Maisha yangu yote niliyoishi ndani ya teknolojia ninachofahamu kuhusu tofauti ya smartphone na feature phone, only ni computing ability, yaani smartphone ina more advanced computing ability.
hizo habari zakujiongeza siwezi kuzikubali.
Hapa unadanganya tena, rejea maelezo yangu pale juu Wikipedia wamesema ni device gani ilianza kuwa marketed as smartphone, kwenye post niliyomquote Dreson4.
Ni miaka hiyo hiyo ya tisini, usichanganye hisia binafsi bila kuwa na validation.
In early 2000, the Ericsson R380 was released by Ericsson Mobile Communications, and was the first device marketed as a "smartphone".
It combined the functions of a mobile phone and a PDA, supported limited web browsing with a resistive touchscreen utilizing a stylus .
In early 2001, Palm, Inc. introduced the Kyocera 6035 , which combined a PDA with a mobile phone and operated on Verizon . It also supported limited web browsing.
Smartphone before Android, iOS and BlackBerry, typically ran on Symbian , which was originally developed by Psion. It was the world's most widely used smartphone operating system until the last quarter of 2010.
Smartphone - Wikipedia, the free encyclopedia
Ndivyo Wikipedia inavyoniambia.
haikuitwa miaka hio hebu elewa kaka smartphone zimeanza kuitwa miaka ya 2000 hakukuwa na smartphone miaka ya 90 hivyo tunachofanya sasa hivi na inachofanya dunia ni kurelate tu simu za miaka ya 90 zilikuwa advance kiasi gani na kama zinadeserve kuitwa smartphonrKwa miaka ile walivyokaa watu wakaona kabisa ilifaa kuitwa hivyo, mana iliwezafungua cellular pages, ila mi muda wakusearch ilifunguaje hizo page sina, mana Wikipedia wamesema basi inatosha.
Nimekujibu kulingana na wewe ulivyotoa facts ya hiyo historical personal site kuwa GSM,
inawezekana ndiyo sielewi maana ya gsm ila niachie mimi binafsi.
Ishu itakayoendelea hapa ni hypocrisy way of defending personal interest with invalid facts kama nilivyotangulia kusema pale juu kwamba jibu halitapatikana as always it has been seen.
Ila simon kama inavyotambulika na dunia kwamba ni the first smartphone then mimi nitakubaliana nao kama watalinganisha na miaka ile.
=====================================
waheed sunday
kwani Symbian ilikuwa na nini ambacho android na ios hana? maana mi sikuwa kutumia hiyo os
Ulitaka kumaanisha nini ?
apple ndo leader wa smartphone sellers. ni untouchable product zake na ndo kampuni iliyoleta real smartphone "hata multi touch wamegundua wao "
wana marketing strategy kali sana kiasi kwamba kampuni zingine zinaonekana kutapa tapa wala washike hili mala lile lakini apple wanajua wanachokifanya na wanakisimamia..
apple ndo leader wa smartphone sellers. ni untouchable product zake na ndo kampuni iliyoleta real smartphone
"hata multi touch wamegundua wao "
real smartphone kivipi ?
Acha kukulupuka,
wamegundua wao kivipi ? Huu ni uongo ungenambia labda walileta first multitouch device ningekuelewa japokuwa ungekuwa bado ni muongo.
Mitsubishi ndio walioanza kuleta first multi touch device.
Ambayo ni diamond touch mwaka 2001, akaja apple mwaka 2007
https://en.m.wikipedia.org/wiki/diamondtouch
nao wao sio kwamba waligundua mana ilianza toka mwaka 82
.
hapo kwenye red kumbe unaelewa alafu unaleta ujuaji na theories kibao ... Na hapa tulikuwa tunaongelea smartphone devices au wewe unaongelea nn ?
"hata multi touch wamegundua wao "
Ikifikia hatua mtu anajipinga yeye mwenyeww ujue ndipo kikomo chakufikiri kilipoishia.
Acha kukulupuka,
wamegundua wao kivipi ? huu ni uongo ungenambia labda walileta first multitouch device ningekuelewa japokuwa ungekuwa bado ni muongo.
Mitsubishi ndio walioanza kuleta first multi touch device.
Ambayo ni Diamond touch mwaka 2001, akaja apple mwaka 2007
https://en.m.wikipedia.org/wiki/DiamondTouch
Nao wao sio kwamba waligundua mana ilianza toka mwaka 82
.