Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,705
What if angekua anajua programming?!mbona wadau wanatafuta sana kazi na wanajua hiz mambo?!tatizo hajui programming,,,,,angekua senior wa programming kazi zipo nyingi angezikimbia mwenyewe...kazi anazoweza mostly wanapewa watu wa certificate za I.T.
Kama unajua programming language za kutosha kazi hazisumbui...wanaotafuta wanapata kirahisi..What if angekua anajua programming?!mbona wadau wanatafuta sana kazi na wanajua hiz mambo?!
True, wapo wengi tu mtaani. Japokuwa ni kweli fursa kwa watu wa programming ni nyingi ila pia demand ni kubwa.What if angekua anajua programming?!mbona wadau wanatafuta sana kazi na wanajua hiz mambo?!
Wanaojua hawatafuti kazi, wanatafuta pesa kupitia skills walizonazo.What if angekua anajua programming?!mbona wadau wanatafuta sana kazi na wanajua hiz mambo?!
Sawa boss ila kwanini umesema ni tatizo? Kwani mtu anatakiwa ajue kila kitu? Hata aliyefiti kwenye programming unakuta kwenye network au system admin ana idea tu. Uwanja wa IT ni mpana huwezi kukuta mtu yupo fit kila idara.tatizo hajui programming,,,,,angekua senior wa programming kazi zipo nyingi angezikimbia mwenyewe...kazi anazoweza mostly wanapewa watu wa certificate za I.T.
upande mgumu wa CS ni programming tu.........ukimaster programming maswala ya network hayakupi tabu,thats why makampuni na watu wengi binafsi wanatafuta PROGRAMMERS zaidi kuliko watu wa networksSawa boss ila kwanini umesema ni tatizo? Kwani mtu anatakiwa ajue kila kitu? Hata aliyefiti kwenye programming unakuta kwenye network au system admin ana idea tu. Uwanja wa IT ni mpana huwezi kukuta mtu yupo fit kila idara.
Kikubwa ni mahitaji na sio ugumu au urahisi, kwanza kwa anayejua haya mambo Networking ni ngumu kuliko programming, angalia certifications kama CCNP, CCIE etc utaona mziki wake.upande mgumu wa CS ni programming tu.........ukimaster programming maswala ya network hayakupi tabu,thats why makampuni na watu wengi binafsi wanatafuta PROGRAMMERS zaidi kuliko watu wa networks
as a programmer naweza jifunza mjengo wa system na nika umodify ambapo system admin hataweza
Halafu kusema kwamba ukimaster programming basi maswala ya network hayakupi tabu huo ni uongo, unaweza kujifunza programming language mwenyewe na computer yako na ukawa mtaalamu,programming its all about coding. Lakini vitu kama Network Architecture, etc. Vinahitaji practical kwa kiasi kikubwa, huwezi kuwa Network Engineer kwa kukaa mezani na laptop yako tu.upande mgumu wa CS ni programming tu.........ukimaster programming maswala ya network hayakupi tabu,thats why makampuni na watu wengi binafsi wanatafuta PROGRAMMERS zaidi kuliko watu wa networks
as a programmer naweza jifunza mjengo wa system na nika umodify ambapo system admin hataweza
ndivyo mambo yalivyo boss,,, kiufupi mtu wa I.T mwenye degree programming ni muhimu hayo mambo mengine ni madogo madogo, ni ngumu company kuajiri I.T mbovu wa programming ,,, labda uwe chini ya I.T kama technician ku-solve issue ndogo ndogo.Sawa boss ila kwanini umesema ni tatizo? Kwani mtu anatakiwa ajue kila kitu? Hata aliyefiti kwenye programming unakuta kwenye network au system admin ana idea tu. Uwanja wa IT ni mpana huwezi kukuta mtu yupo fit kila idara.
Mungu akutangulie katika harakati zako mkuu.Habari ndugu na poleni na michakato ya uchaguzi, kijana hapo chini anatafuta ajira lakini pia anaweza kufanya freelancing yaani kama una kazi ya mara moja unampatia kwa makubaliano.
Elimu: Bachelor's degree(IT)
Experience: 5 years. - IT Support, Call Center Support, System Admin, Maintenance, Software Installations,Pre-sales Engineer etc
Location: Dar, but ready to relocate
Alikuwa amejiriwa ila kampuni imeshindwa kurenew mkataba kutokana na Corona(Makao makuu ya kampuni yapo Makerani na hawajatoa go ahead ya kuongeza mkataba).
Kwenye programming and software development amesoma ila hajafanyia kazi upande huo(ana basic knowledge).
Nafasi anazoweza kufanya: IT Support, IT Manager, System Administrator, IT Officer, IT Sales/ preSales, etc
Msaidie kijana huyu, ushauri unapokelewa.
mkuu tatizo uko hapa kubishana sio kupeana ukweli,, unatetea ulichonacho... kifupi kama wewe ni I.T inabidi uwe full,, kwa upande wa programming na issue za networking na security..i mean hata hao programmer wako full kwenye CISCO, CISA na certificate nyinginezo practically ..
kama unajua programming language za kutosha kazi hazisumbui...wanaotafuta wanapata kirahisi..
Tunajadili hatubishani, hakuna IT aliye full bro, Chuoni sawa unasoma vitu vingi ila lengi ni kupata basics tu. Huwezi kuspecialize kwenye Database, Networks, Software Development, Telecom Systems, etc. Noc Engineer pale vodacom anahitaji kujua kutengeneza website ili iweje? Anahitaji kuwa na basic tu, vilevile Web Designer anahitaji kujua kuconfigure router ili iweje? Anahitaji kuwa na idea tu(basics).mkuu tatizo uko hapa kubishana sio kupeana ukweli,, unatetea ulichonacho... kifupi kama wewe ni I.T inabidi uwe full,, kwa upande wa programming na issue za networking na security..i mean hata hao programmer wako full kwenye CISCO, CISA na certificate nyinginezo..
Hahahah haya sasa, bora umekuja. Jamaa inabidi akupe kaziMimi najua C++ nipe kaZi
tatizo hajui programming,,,,,angekua senior wa programming kazi zipo nyingi angezikimbia mwenyewe...kazi anazoweza mostly wanapewa watu wa certificate za I.T.
Tunajadili hatubishani, hakuna IT aliye full bro, Chuoni sawa unasoma vitu vingi ila lengi ni kupata basics tu. Huwezi kuspecialize kwenye Database, Networks, Software Development, Telecom Systems, etc. Noc Engineer pale vodacom anahitaji kujua kutengeneza website ili iweje? Anahitaji kuwa na basic tu, vilevile Web Designer anahitaji kujua kuconfigure router ili iweje? Anahitaji kuwa na idea tu(basics).
mkuu wajua C++ TUUππππ hahaha,,,Mimi najua C++ nipe kaZi