Kampuni / Mwanasheria alomtetea Jacob Zuma ...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampuni / Mwanasheria alomtetea Jacob Zuma ...?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Tutor B, Aug 2, 2011.

 1. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  Ndg, zangu naomba kuuliza? Ni mwanasheria yupi aliyemtetea Jacob Zuma kwenye kesi ya kubaka?
   
 2. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  Waungwana naomba niulize hili kwa yeyote anayejua... Hivi ni Mwanasheria yupi / Kampuni ipi ya wanasheria walomtetea Jacob Zuma wakati wa Kesi yake ya Ubakaji.
   
 3. S

  Sir-mganah Member

  #3
  Aug 2, 2011
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Na wewe unataka kubaka au?
   
 4. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Mkuu kesi ya muda sana hii
  Imekuwaje leo ukaikumbuka au una kesi ya ubakaji unahitaji na wewe usaidiwe nini
   
 5. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  Nina sababu za kimsingi ila sio kwamba nina kesi ya ubakaji, kama unajua jibu naomba unijibu kiongozi.
   
 6. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  Hilo sio jibu la swali uloulizwa! Jenga mazingira ya kuelewa unachotakiwa kujibu; kama hujui waruhusiwa kutochangia.
   
 7. Aloysius

  Aloysius Member

  #7
  Aug 3, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tundulisu. Bila ya malipo. Sema Aksante.
   
Loading...