Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,174
taarifa za uhakika zinasema kampuni la kuchimba madini Glencore linajipanga kuachana na biashara ya kupitisha mizigo yake Tanzania kutokana kile kinachosemwa kuwa ni figisu-figisu za kodi zisizoeleweka. mizigo yake sasa itapita Durban kwa Madiba. hii ina maana Tanzania itapoteza mapato iliyokuwa ikipata kutoka katika mzigo wa madini ya shaba ya tani 20,000 kila mwezi yaliyokuwa yakipita bandari ya salama kwenda ughaibuni. Tusisahau tena kuwa vijana wetu kwa mamia watapoteza ajira. pia vikampuni vidogodogo vitajiuliza 'ikiwa mwenye tani elf 20 kwa mwezi anasepa sisi wa tani 1000, 2000, 3000 tunabaki kufanya nini?'
hatari ni aje?
hatari ni aje?