Mbona tushasema sana kuhusu Mayanga!!
CEO ni Steven Makigo
Steven Makigo ni Swahiba wa Rais John Pombe Magufuli... hawakukutana barabarani!! Hawa wamesoma pamoja Lake Secondary School.
Akiwa kama waziri wa ujenzi, mwaka 2012 JPM alimteua Steven Makigo kuwa Mjumbe wa TEMESA. TEMESA hii ni ile ile ambayo ilinunua boti kwa mabilioni ya pesa huku boti yenyewe ikiwa na speed sawa na mtumbwi!!
Ni boti ile ile ambayo, ili kuwakata watu midomo wasiijadili, JPM yule yule akaipeleka boti hiyo jeshini! Yaani, Jeshi linapewa boti yenyewe mwendo wa kinyonga!!!
REMEMBER: Zabuni ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Chato iliweka sharti kwamba Contractor LAZIMA awe ni wa Kanda ya Ziwa!!
Yaani "National Project" inaweka condition ya ku-eliminate Watanzania wengine!!!!
Tena hapa tukumbushane kwamba, hiyo ni aina moja wapo ya Grand Corruption! YES, I mean it... a type of the GRAND CORRUPTION ambayo kwa makusudi watu wanaweka baseless conditions only to eliminate other competitors in favor of their guy!!!
SO, Kuna atakayeshangaa tukisema Mradi wa ujenzi wa Chato International Airport uliletwa maalumu ili tenda apewe Mayanga Construction Ltd, and ONLY Mayanga?!
Halafu ngoja, nimekumbuka!!
Hivi mnakumbuka JPM enzi zake akiwa Waziri wa Ujenzi akaja na "Wakandarasi Wazalendo"?!
Hoja tamu kweli kweli ambayo mtu ukiitia doa utaonekana unapingana na mtu anayekusudia kuwainua Wakandarasi Wazalendo lakini ukweli ni kwamba hiyo ilikuwa ni janja janja nyingine ya kui-favor Mayanga Construction!!
Wakati Wizara ya Ujenzi chini ya Magu ilipokuwa na mpango wa kujenga Daraja la Mbutu, Magu alijua kabisa Mayanga hatakuwa na ubavu wa kushindana na kampuni za kigeni na ndipo likaja suala la Wakandarasi Wazalendo, na Mayanga Construction akala shavu akiwa na "wazalendo" wengine!!
Don't speculate pale tovuti ya Ikulu inaposema:
Kutoka Mjengoni Dodoma, Mh. Marwa Ryoba Chaha... Mbunge wa Serengeti, CCM anatukumbusha:-
Akili za mbayumbayu changanya na za Baba Levo!

Kisha Tovuti ya Mayanja Construction nayo ikaja kusema:Harakati zake za kisiasa zilianza mwaka 1995 alipogombea kiti cha ubunge katika jimbo la Chato na kuteuliwa kuwa Naibu Waziri katika Wizara ya Ujenzi. Mwaka 2000 Dkt. Magufuli aligombea na kushinda kwa mara ya pili na kuteuliwa kuwa Waziri wa Wizara ya Ujenzi.
2000 vs 2001 is just coincidence, mmiliki wa Mayanja Construction ni Steven Makigo, si eti enh?Since inception on the 2001, Mayanga CONTRACTORS Company Ltd has managed
Kutoka Mjengoni Dodoma, Mh. Marwa Ryoba Chaha... Mbunge wa Serengeti, CCM anatukumbusha:-
Muraa anaendelea:-Mwaka 2013 wameanza kutengeneza barabara ya kuunganisha Mkoa wa Mara na Mkoa wa Arusha wakaanza na kilometa 50. Imepita miaka sita kilomita 50 hazijakwisha hata kilometa sita tu wameshindwa kumaliza. Hiyo ndiyo Serikali ya CCM, nijiuzulu leo nimuunge mkono wakati barabara imemshinda.
Mheshimiwa Naibu Spika, halafu mkandarasi anayejenga huo uwanja unajua ni nani? Ni yule ambaye ameshindwa kumaliza zile kilometa 50 pale Mkoa wa Mara, ndiyo amepewa Mayanga nani mwingine si ndiyo huyo? Kisa rafiki yake na nani, Magufuli, ooh haya, twende kazi