Kampuni inayojenga Uwanja wa ndege Chato, Mayanga Construction inamilikiwa na nani na ilipataje tenda hiyo?

Hatuna haja ya kujua ni ya nani bali tunataka kujua anauwezo wa kufanya kazi za ujenzi kiwango kinachotakiwa na serikali
 
Wadau, hili ni dudu jingine mjini hapa linapata matenda makubwa ya serikali hii mf chato airport na tender kubwa za lake zone na kigoma.

Kuna tender ilitangazwa nikasikia kampuni moja ya ujenzi inasema kama Mayanga akiomba hawatajisumbua kuomba....

So wajuzi wa mambo naombeni elimu kampuni hili ni la nani? Kwanini Mbarawa anapata kigugumizi juu ya Mayanga?

Nawasilisha
MAYANGA CONTRACTORS CO. LTD | Contractors Registration Board
 
Ahaa huyu jamaà ndo mmiliki kumbe...dah kweli hili taifa la mapande.

Alafu kumbe ile boti kimeo ilienda jwtz??? Really? Kwa kazi na uwezo gani kwa ile biti
Imepelekwa jeshini kwa sababu hata akina Mnyika wakitaka kuijadili bungeni wataambiwa "...hamuwezi kuijadili hiyo boti kwa ajili ya usalama wa taifa!" Huwezi tena kuijadili na kuitangazia dunia speed ya boti ya jeshi pamoja na madhaifu yake manake "itakuwa ni kuwapa mwanya maadui" wa kufahamu udhaifu wetu!!
 
Scope ya kujenga Airport ni kama ya barabara tu, na wala haihitaji special experience zaidi ya kuwa civil contractor. Na kama kuna jengo hauhitaji special experience zaidi ya kuwa umesajiliwa kama building contractor. Sasa sijajua mapovu ni mmiliki ama uzoefu wa kampuni ama uwezo wa kampuni. Mi sio mtetezi bali ni mfafanuaji.
 
Majibu ya namna hii yanatolewa na wapimbafu flan hivi.... Kila cku mnasema tufate sheria lakn ikifika zamu yenu ya kufata sheria mnaleta ngonjera....pumbafu kabisa ninyiii
Kabisa mkuu, mijitu ya namna hii haijui hata inachotaka. Nyambaf kabisa!!
 
Poli ni lile lile nyani ni wale wale ila wamebadili tu style ya ulaji ndizi,safari hii wanamenyea nyuma ndizi na kuyakalia maganda kisha wanalia mbele,huku wakiwaangalia mnavyopiga miayo
 
Wadau, hili ni dudu jingine mjini hapa linapata matenda makubwa ya serikali hii mf chato airport na tender kubwa za lake zone na kigoma.

Kuna tender ilitangazwa nikasikia kampuni moja ya ujenzi inasema kama Mayanga akiomba hawatajisumbua kuomba....

So wajuzi wa mambo naombeni elimu kampuni hili ni la nani? Kwanini Mbarawa anapata kigugumizi juu ya Mayanga?

Nawasilisha

Ukiingia web site ya CRB utakutana na details hizi,

Kuna kingine unahitaji?

MAYANGA CONTRACTORS CO. LTD
Registration Number:
C1/0056/12/2007
Managing Director:
STEVEN P. MAKIGO
Types of Contractor:
CIVIL
Class:
1
Category:
Local
Town:
MWANZA
Hide Contacts
Postal Address:
P.O. BOX 10795
Physical Address:
SHAN CINEMA BUILDING
E-mail:
stevenmakigo@yahoo.com
Phone:
+255 28 2561041/ 2560474/0754 301785
 
Back
Top Bottom