ofisa JF-Expert Member Joined May 15, 2011 Posts 4,361 Reaction score 4,109 May 7, 2023 #21 Hivi hawawezi kupewa jukumu la kupambana na pikipiki zisizo na sifa mjini kama helment,viatu.uendeshaji mbaya (ushahidi uwe ni camera).
Hivi hawawezi kupewa jukumu la kupambana na pikipiki zisizo na sifa mjini kama helment,viatu.uendeshaji mbaya (ushahidi uwe ni camera).
L Lihove2 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2018 Posts 3,841 Reaction score 6,977 May 7, 2023 #22 Raia Fulani said: Aisee hawa jamaa rushwa yao kubwa. Na wanakomalia na kama hutaki wanakupa tu control number uhangaike nayo Click to expand... Nadhani ni bora wqdhibitiwe kwa kutopokea hela tslimu.mapato ya umma yanapotea sana.wafanye kama trafic.unajua faini za barabarani haziumi sana kama zile za zamanj za kwenye kitabu,notification
Raia Fulani said: Aisee hawa jamaa rushwa yao kubwa. Na wanakomalia na kama hutaki wanakupa tu control number uhangaike nayo Click to expand... Nadhani ni bora wqdhibitiwe kwa kutopokea hela tslimu.mapato ya umma yanapotea sana.wafanye kama trafic.unajua faini za barabarani haziumi sana kama zile za zamanj za kwenye kitabu,notification
R Road Traffic Signal JF-Expert Member Joined Mar 17, 2022 Posts 621 Reaction score 1,964 May 7, 2023 #23 Tupate bylaws za jiji zinazogavan parking tuzichambue kuwa na uelewa
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,264 May 8, 2023 Thread starter #24 Road Traffic Signal said: Tupate bylaws za jiji zinazogavan parking tuzichambue kuwa na uelewa Click to expand... Ni kweli Mwenye nazo atuwekee hapa tafadhali
Road Traffic Signal said: Tupate bylaws za jiji zinazogavan parking tuzichambue kuwa na uelewa Click to expand... Ni kweli Mwenye nazo atuwekee hapa tafadhali
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,317 Reaction score 103,577 May 8, 2023 #25 ofisa said: Hivi hawawezi kupewa jukumu la kupambana na pikipiki zisizo na sifa mjini kama helment,viatu.uendeshaji mbaya (ushahidi uwe ni camera). Click to expand... Iliwahi leta kasheshe
ofisa said: Hivi hawawezi kupewa jukumu la kupambana na pikipiki zisizo na sifa mjini kama helment,viatu.uendeshaji mbaya (ushahidi uwe ni camera). Click to expand... Iliwahi leta kasheshe
cabo JF-Expert Member Joined Jun 15, 2016 Posts 4,774 Reaction score 5,314 May 9, 2023 #26 Demi said: Waliosababisha nitoe pesa walitoa pesa yao ya mfukoni kuirudisha. Inawezekana Click to expand... aah nilidhani ameenda kumkoromea mkurugenzi
Demi said: Waliosababisha nitoe pesa walitoa pesa yao ya mfukoni kuirudisha. Inawezekana Click to expand... aah nilidhani ameenda kumkoromea mkurugenzi
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 42,803 Reaction score 95,692 May 9, 2023 #27 cabo said: aah nilidhani ameenda kumkoromea mkurugenzi Click to expand... 😀😀 Hapana. Pesa ikishatolewa huko ndo basi tena.
cabo said: aah nilidhani ameenda kumkoromea mkurugenzi Click to expand... 😀😀 Hapana. Pesa ikishatolewa huko ndo basi tena.