Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
Aisee hawa jamaa rushwa yao kubwa. Na wanakomalia na kama hutaki wanakupa tu control number uhangaike nayoHiyo kazi inatoa mwanya wa rushwa sana, yaani nilipe laki 4 na mtu ana njaa kwanini asipewe elfu 20 akuachie?
Umeuma uma maneno na kuniacha kwenye mataa! ..."Wengi ni kanda maalum", kanda hiyo ndiyo wapi huko?Ni hawa jamaa ambao yard yao ipo pale jirani na bohari ya msd. Utawakuta mjini wamevaa sare za suruali yeusi na shati jeupe. Wengine wana tshirt nyekundu. Na usafiri wao mkubwa ni bajaji. Kiukweli watu hawa ni janga la jiji. Kwanza wana hasira hao! Wengi ni kanda maalum.
Wakishashika gari yako yani uwe mpole tu. Hata kama wamekosea wao, kwa hasira zile na jazba zao na uelewa wao mdogo, pamoja na ubabe, huchomoki hivihivi.
Yani bora upambane tu mmalizane huko nje maana ukishaingia yard ni mengine tena . Kasoro yao kubwa ni gharama. Gari ya kazi gharama yake laki 3. Kama uloleta ubishi ikabidi ivutwe hadi yard, gharama ya kuvuta ni laki 4 na haijalishi umbali toka yard yao. Wakati mwingine bora ukutane na askari kuliko hawa manyigu. Naweza kuandika sana ila nina maoni machache;
1. Gharama zao zichunguzwe. Ni ghali mno. Kosa la juu angalau iwe ni elfu 50. Hii itassidia mno kupunguza chuki, milolongo, na kupoteza muda.
2. Wakikushika wakupe na sababu zilizo wazi badala ya kuanza kupaniki.
3. Waache kuvizia.
4. Jiji lijitathmini kwa kazi hizi wanazotoa kwa kampuni hizi. Jiji linahusika pia kuwapa kiburi
Wakuu mnaweza kuongeza yenu na kipi kifanyike
Ilikuwaje Mkuu?Wrong parking Arusha waliingia cha kike. Gari iliingia yard pesa nikatoa. Baada ya wiki ile pesa waliirudisha, pambav sana maana walinionea.
Nikiwaona huwa nawacheka sana.
Nilisimama sehemu mtu alikuwa ananipa mzigo, sikumaliza hata sekunde 30 hao wamekuja na chain yao, sikuwa hata nimeshtuka wakafunga chain.Ilikuwaje Mkuu?
Hahahaaa... Ni kanda maalumUmeuma uma maneno na kuniacha kwenye mataa! ..."
Umeuma uma maneno na kuniacha kwenye mataa! ..."Wengi ni kanda maalum", kanda hiyo ndiyo wapi huko?
Hongera sana. WanakeraNilisimama sehemu mtu alikuwa ananipa mzigo, sikumaliza hata sekunde 30 hao wamekuja na chain yao, sikuwa hata nimeshtuka wakafunga chain.
Hakuna hawakuwa na ubinadamu.
Mr aliwatafuta na pesa ikarudi same amount. Walitoa mifukoni mwao.
Atakuwa aliwapelekea moto hasa.Nilisimama sehemu mtu alikuwa ananipa mzigo, sikumaliza hata sekunde 30 hao wamekuja na chain yao, sikuwa hata nimeshtuka wakafunga chain.
hawakuwa na ubinadamu.
Mr aliwatafuta na pesa ikarudi same amount. Walitoa mifukoni mwao.
Serikali yetu si ya hovyo hii, wakikubamba wako tayari hata wakusababishie ajali ufe, Yani wanaweza shika usukani wa bajaji yako wakauyumbishayumbisha Kama upo unaendesha. Wanaurukia usafiri wako hata Kama uko on motion. Loh
Wrong parking Arusha waliingia cha kike. Gari iliingia yard pesa nikatoa. Baada ya wiki ile pesa waliirudisha, pambav sana maana walinionea.
Nikiwaona huwa nawacheka sana.
Waliosababisha nitoe pesa walitoa pesa yao ya mfukoni kuirudisha. InawezekanaYani wachukue pesa alaf irudi how?