Kampuni gani ya ntenret wanaspeed mzuri

Kampuni gani ya ntenret wanaspeed mzuri

silver25

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
743
Reaction score
44
Natafuta Kampuni ambayo itaprovide internet kwenye Office yetu

Ipi ni mzuri jaman kwa Hapa Dar ambao hawana Matatizo>
 
Smile nawajua nataka kuchukua trial
 
TTCL kwa offisini, angalia kwenue website yao.
 
Natafuta Kampuni ambayo itaprovide internet kwenye Office yetu

Ipi ni mzuri jaman kwa Hapa Dar ambao hawana Matatizo>

Nenda TTCL bei zao ni nafuu na utazimudu. Huko kwingine ni pasua kichwa mkuu. Sema sasa hawa TTCL kwenye swala la meintenance ndo ishu...ukipata tatizo hadi waje walishughulikie utakuwa umeshakata tamaa.
 
Back
Top Bottom