Kampuni za OILCOM,CAMELOIL,BP na ENGEN zimepewa masaa 24 kusitisha mgomo wao na kuanza kuuza mafuta kwa bei rasmi iliyotangazwa na Ewura.Endapo watakaidi amri,Ewura imetishia kuziburuza mahakamani.Wakati huo huo mheshimiwa Zito Kabwe ameshauri endapo kampuni hizi zitaendeleza mgomo,JWTZ iingilie kati kwa kuvamia vituo vya mafuta kinguvu na kuuza mafuta kwa wananchi.
Huyo meya wa Dar aliyesema wabunge (serikali) wanatumia makalio kufikiria hakukosea, ina maana Tanzania ni Dar peke yake?, hivyo vituo vilivyotajwa hapo vingi vipo Dar, je wamefikiria na hivi vilivyopo mikoani? Total, Oryx, n.k, kwa sababu hata wao wamegoma, au wa mikoani tuje tujazie mafuta Dar?, mipuuzi sana hii mijitu
Sikubaliani na Zitto hiyo ni temporary soln, kifupi serikali ijipange nayo kupitia kampuni yake tuone nini kitatokea.........Wakati huo huo mheshimiwa Zito Kabwe ameshauri endapo kampuni hizi zitaendeleza mgomo,JWTZ iingilie kati kwa kuvamia vituo vya mafuta kinguvu na kuuza mafuta kwa wananchi.
Wazo la zito ndio ,muendelezo wa kufikiria kwa MAKAL!o
<br /><br />Kampuni za OILCOM,CAMELOIL,BP na ENGEN zimepewa masaa 24 kusitisha mgomo wao na kuanza kuuza mafuta kwa bei rasmi iliyotangazwa na Ewura.Endapo watakaidi amri,Ewura imetishia kuziburuza mahakamani.Wakati huo huo mheshimiwa Zito Kabwe ameshauri endapo kampuni hizi zitaendeleza mgomo,JWTZ iingilie kati kwa kuvamia vituo vya mafuta kinguvu na kuuza mafuta kwa wananchi.
<br />Kampuni za OILCOM,CAMELOIL,BP na ENGEN zimepewa masaa 24 kusitisha mgomo wao na kuanza kuuza mafuta kwa bei rasmi iliyotangazwa na Ewura.Endapo watakaidi amri,Ewura imetishia kuziburuza mahakamani.Wakati huo huo mheshimiwa Zito Kabwe ameshauri endapo kampuni hizi zitaendeleza mgomo,JWTZ iingilie kati kwa kuvamia vituo vya mafuta kinguvu na kuuza mafuta kwa wananchi.