KAKA A TAIFA
JF-Expert Member
- Apr 27, 2011
- 566
- 80
Huyu nani kamtuma Marekani kupiga picha na masharobaro???!!
Ukitaka kumjua mzalendo wa kweli utamjua wakati anlinda maslahi yake hta kwa unafiki.HIVI KAMPENI IMEKUWA VITA EEH EEH,PHEW.............SASA WAPIGA KURA TAMBUENI HAKI NA MAENDELEO YA SIKU ZIJAZO NA MANENO YA KUDANGANYWA TU.
Nadhani amepamiss kwao Somalia hadi akapata hamu za kutoka hadharani na silaha kama wanavyofanya wenzake kule Mogadishu. Kama anahamu ya vita arudi kwao huyu Msomali Rage