mkuzo
Member
- May 8, 2014
- 52
- 49
Wakuu...toka kampeni zimeanza kwa haya majimbo mawili yanayo waniwa ...naona ni jimbo moja tu la kinondoni ambapo nguvu kubwa imewekwa na mahasimu wote wa kisiasa...najiuliza vipi kuhusu siha!? Au upande mmoja umeshakubali kushindwa!? Manake sioni watu kuiongelea sana kama ilivyo kwa kinondoni!!