Kampeni za uchaguzi jimbo la Siha zinaendeleaje?

mkuzo

Member
May 8, 2014
52
49
Wakuu...toka kampeni zimeanza kwa haya majimbo mawili yanayo waniwa ...naona ni jimbo moja tu la kinondoni ambapo nguvu kubwa imewekwa na mahasimu wote wa kisiasa...najiuliza vipi kuhusu siha!? Au upande mmoja umeshakubali kushindwa!? Manake sioni watu kuiongelea sana kama ilivyo kwa kinondoni!!
 
Siha hata aliyewaazima ofisi Chadema alishahamia CCM kitambo. Watu wamechoka na propaganda za Chadema, watu wanataka maendeleo. Kitendo cha kusema wabunge wa upinzani wasishirikiane na serikali ya CCM kinawakwaza wananchi ndio maana kampeni zimekuwa mteremko kwa upande wa CCM hasa jimboni Siha.
 
Umeamua kujiongopea pole sana!!
 
Siha hata aliyewaazima ofisi Chadema alishahamia CCM kitambo. Watu wamechoka na propaganda za Chadema, watu wanataka maendeleo. Kitendo cha kusema wabunge wa upinzani wasishirikiane na serikali ya CCM kinawakwaza wananchi ndio maana kampeni zimekuwa mteremko kwa upande wa CCM hasa jimboni Siha.
Hivi mkuu unamfahamu mnyeti!?
 
Kila mmoja kaficha siraha subili tarehe ifike matokeo yatakuwa dhahiri tu kwa mwenye nguvu
 
Siha hata aliyewaazima ofisi Chadema alishahamia CCM kitambo. Watu wamechoka na propaganda za Chadema, watu wanataka maendeleo. Kitendo cha kusema wabunge wa upinzani wasishirikiane na serikali ya CCM kinawakwaza wananchi ndio maana kampeni zimekuwa mteremko kwa upande wa CCM hasa jimboni Siha.
Mkuu imebidi nicheke tu :D:D:D:D haaahaaaaa maana hata nashindwa nianzie wapi kukujibu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom