Uchaguzi 2020 Kampeni za Gwajima zatingisha Jimbo la Kawe, aenda kupiga kampeni kwa watoto wa chekechea darasani

Katika hali ya kuonyesha kuchanganyikiwa na joto la kampeni na kupoteza uelekeo, mgombea wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima aliibuka kwenye darasa la watoto wa shule ya awali.
Hebu tazama hiyo video akiwa na Luca Neghesti mgombea udiwani kata ya Msasani.

View attachment 1586399
Naona upinzani yote mmeamia kawe mnaacha kupambana na kunadi sera zenu kutwa mnaangaika na Gwajima yani nyie ata muungane vipi kumshinda Gwajima hamuwezi ni kwamba kale kajizi akatakiwi kawe tena tunakwenda na Gwajima.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Naona upinzani yote mmeamia kawe mnaacha kupambana na kunadi sera zenu kutwa mnaangaika na Gwajima yani nyie ata muungane vipi kumshinda Gwajima hamuwezi ni kwamba kale kajizi akatakiwi kawe tena tunakwenda na Gwajima.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Screenshot_20201001-094306.png
Screenshot_20201001-094306.png
 
Unaamka asubuhi hujajua kama utakula mchana halafu unaandika upuuzi kuhusu Gwajima ambaye yuko busy na kampeni jimboni halafu utakuja kusema mnaibiwa kura.

Nani asiyejua kuwa Halima amechokwa na wananchi wa Kawe na hawamtaki kabisa. Zamu hii atatusamehe
Umechanganyikiwa, sioni sababu nyingine ya maneno haya majira hii ya kampeni
 
Wananchi wa kawe wanamkubali Gwajima nyie mnaopiga kelele huku mtandaoni hata hamtutishi yan sisi ndo watu wa kawe na tunaishi kawe na kawe tumeamua kwenda na Gwajima
 
Hawezi ..Halima kasoma UDSM na wengi ndio wanakaa jimbo la Kawe..Gwaji katokea wapi kama sio muhamiaji haramu msikilize vizuri lafudhi yake..
Kumbuka watu wa kawe wameelimika mkuu, na mtaji wa ccm ni watu wa kinyume chake, sasa hizo kura nani atampa huyo tapel?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom