Uchaguzi 2020 Kampeni za Gwajima zatingisha Jimbo la Kawe, aenda kupiga kampeni kwa watoto wa chekechea darasani

Miaka yote Halima Mdee anapita kwa kura za wanna CCM.
Gwajima hakubaliki kwa wanachama wengi. Aliwatukana hadharani waislam na kusema misikiti ataigeuza kuwa Sunday School na alimtukana Kadinalo Pengo.
Gwajima Hana sifa za kuwa kiongozi

Bujibuji naomba hekima na busara zitusaidie kujua ni mambo gani ya msingi yaliyofanya mtu kama huyo kurudishwa kama mgombea toka chama cha CCM , hivi kweli ngazi zote za maoni ndani ya chama chao pamoja na kamati kuu hawakuona mapungufu ya bwana huyu na bado akawa chaguo lao?

Kwanini Gwajima hakushinda kura za maoni na bado jina lake likarudishwa kupeperusha bendera ya CCM wakati Makonda naye alishindwa na kwake hawakurudisha jina lake kubeba bendera ya CCM?

Au kwanini Mzee wa vijisenti alishinda kura za maoni lakini jina lake halikurudi wakati wenye makandokando kama yake wapo wengi tu na wamerudishwa kubeba bendera za chama chao?
 
Back
Top Bottom