Kampeni za chadema Tindigani-live

Kampeni za chadema Tindigani-live

Lema anawambia kina mama akipewa sukari,pesa na wakitakiwa kumtukana lema iliwapewe pesa zaidi amewaruhusu ila kura kwa nassari

wakuu in fact mungetupiamo vipicha ingekuwa raha zaidi.... offcourse ccm ni alijojo now.. actualy upepo unawapeleka baharini wakaliwe na papa
teheee teheee..... Hiyo ndiyo CDM bana walisema ni chama cha msimu.. ngoja moto uwaunguze sasa..
 
Tupo pamoja makamanda endeleeni kutujuza kinachoendelea!
 
umatan ntakuwa arusha lazima nije kujionea mwenyewe nakusikia kwa masikio yangu mwenyewe
nipeni ratiba tu cdm mtakuwa wapi na ccm watakuwa wapi
 
Mambo ya kurejesha matumaini kwa walalahoi kote nchini, ulinzi imara wa Haki na Heshima kwa Utu wa Kila Mtanzania na utajiri wa nchi yetu kwa maslahi ya taifa kwanza.

Rejao jisikie huru kujiunga CHADEMA mapema kabla hakujachelewa sana ili na wewe upate kuhesabiwa katika familia ya ukombozi wa wanyonge dhidi ya wale MAFISADI ambao hivi sasa unawatumikia kwa nguvu zako zote.

Swali lingine mtani?

... WaTanzania sote TUMESHAAMUA kwamba mambo yote ni kwa CHADEMA, je ni nani tena wa kutuzuia?????????????


mambo yepi hayo? hebu fafanua...
 
wakuu in fact mungetupiamo vipicha ingekuwa raha zaidi.... offcourse ccm ni alijojo now.. actualy upepo unawapeleka baharini wakaliwe na papa
teheee teheee..... Hiyo ndiyo CDM bana walisema ni chama cha msimu.. ngoja moto uwaunguze sasa..

Mkuu kamchina kangu kalikuwa kanazingua ila ufo saro amefanya covarage ya kutosha stay tune itv news.
 
Tupo pamoja makamanda endeleeni kutujuza kinachoendelea!

Joshua Nassari:Amezaliwa,amebatizwa,amesoma,amebarikiwa,amekulia na anaishi arumeru na anaongea kimeru na kuzijua mila za kimeru......
Vs
Sioi Sumari:Amezaliwa,amekulia kenya,amesoma Uk,Usa anaishi mbezi dsm,ajui kimeru wala mila zake.
 
umatan ntakuwa arusha lazima nije kujionea mwenyewe nakusikia kwa masikio yangu mwenyewe
nipeni ratiba tu cdm mtakuwa wapi na ccm watakuwa wapi

Karibu kamanda sisi tumekuja kutimiza haki yetu ya msingi
 
Pamoja sana,leo ccm ktk mkutano wao huko singisi walikiri kushindwa ktk uchaguzi tarajiwa
 
Joshua Nassari:Amezaliwa,amebatizwa,amesoma,amebarikiwa,amekulia na anaishi arumeru na anaongea kimeru na kuzijua mila za kimeru......
Vs
Sioi Sumari:Amezaliwa,amekulia kenya,amesoma Uk,Usa anaishi mbezi dsm,ajui kimeru wala mila zake.

Sioi anaishi Masaki maghorofa ya NASACO
 
Ndio nasema hivi,

WaTanzania tumeshaamua juu ya hatima yetu kama taifa na uhuru wetu kama watu wenye akili timamu kwamba CHADEMA kituongoze kwa faida na kwa jinsi tuipendavyo kuliko CCM kuendelea kutuongozwa kwa jinsi wapendavyo MAFISADI wachache nchini.

Naam, TUMESHAAMUA juu ya hilo na wala hakuna ubishi tena!!
 
Wazee kwa vijana wa Arumeru Mashariki, kura za CHADEMA tukazilinde kama mboni ya jicho letu wkati wote. Kupiga kura na kulinda kura zote ni haki za mpiga kura popote duniani.
 
Haya sasa, mambo yanazidi kunoga. Naona kamanda Nape anaingia sasa akifuatiwa na Lusinde. Nyuma yao namuona Mwigulu huku mwisho kule tunatarajia che Mkapa naye kutia timu. Leo Tindigani patakucha, ni kama mdaharo fulani hivi. Mafahari wawili leo watakaa zizi moja. Tindigani hoyeeee! Chadema hoyeeee! Ccm hoyeeee!
 
Back
Top Bottom