Daata
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 4,748
- 2,038
Wasalaam nyote.
Kuna kampeni nimeona iko endelea hapa Jamiiforums. Imepewa Jina la kataa ndoa na maneno mengine yanayoambatana nayo.
Kwanini kampeni hii imeachwa ikaendelea kuwepo kwa muda. Hawa wanaosema kataa ndoa wa namaanisha uzao unapatikanaje?
Je wanahamasisha watu wazaliane bila utaratibu hasa kuongeza wamama wanaolea wenyewe al maarufu 'single mothers'?
Malezi na makuzi ya mtoto huanzia ndani ya ndoa Tena yenye ukamilifu wa wazazi wote. Je Hawa wanataka wazaliwe watoto watakaokosa malezi ya mzazi moja au hii kampeni maana yake nini hasa?
Twendeni pamoja kujadili.