Kampeni/mikutano ya/za Kikwete na wanawake - picha

ccmrallykikwetecheeks.jpg
 
Huo ndiyo usanii alio nao kikwete. mtu mjinga anaweza akadhani kwamba kikwete anamjali huyo bi kizee lakini ukweli ni kwamba anachowaza hapo ni kujirusha nchi za nje kwenye pipa.
 
haha mwafrika nimekushndwa.....:tonguez:

Mkuu yaani Kikwete ana material kibao ambayo yanaweza kuvunja servers za JF kama yakiwekwa yote hapa. Kwa sasa furahia hii kwa hisani ya rafiki yetu Azadirachta:

Twanga.JPG
 
Ukombozi wa kweli Tanzania utapatikana siku wanawake watakapokombolewa kifikra. (Wanawake wana mageuzi mniwie radhi)
 
Mambo yao yale yale

Dokii na First lady wa kiaina Kamata Vicky

attachment.php
 

Attachments

  • dokii.jpg
    dokii.jpg
    8.9 KB · Views: 131
yaani - UBONGO WA KUJUA "UMASKINI WA TANZANIA" UNASABABISHWA NA NINI - ATAPATA KWELI???? BUSY TU KUCHEKACHEKA - MIE NINGEKUWA RAIS WA TANZANIA - SINCERELY KUTOKANA NA HALI NCHI HII ILIPOFIKIA - NISINGECHEKACHEKA NA KU-PARTY KILA MARA - ACHILIA MBALI KURUKA NA PIPA KILA WAKATI - NINGETULIA:
1) NIKAMWOMBA MUNGU ANIPE DIRECTION
2) NIFIKIRIE NA KUCHUKUA HATUA - KUOKOA WATANZANIA WENZANGU
3) KUWAJIBISHA WEZI WOTE - REGARDLESS YA URAFIKI, WADHIFA, ............. YA MTU YOYOTE
4) KUCHUNGUZA NA KUELEWA KERO ZA WANACHI - SIO KUSUBIRI KULETEWA - HATA KAMA NI ZA UONGO......................
kwenye PENYE MITI HAPANA WAJENZI -
jamani - mnaompamba JK - MSIMDANGANYE - jamani - NALIONA SHIMO REFU MNOOOOOOOOOOOOOOOO
 
he has lost the presidency and time for him to go to the ladies without fear!!!

JK have fun out there after 31 oct 2010
 
Hii picha ya Kikwete katika vitenge halafu inaandikwa ''wanawake tunaweza'' nafikiri inamdhalilisha Jk
 
Back
Top Bottom