Kampeni maalumu: 2025 Mpe mama tabasamu

Kampeni maalumu: 2025 Mpe mama tabasamu

Mada faka kabisaaa kwa kipemba tuimbeeeee mto-mbeleyooo 2025 Atoboii😂😂😂
 
Yes,
Panaweza pakawa na changamoto lakini mara nyingi huwa sivyo kama inavyoripotiwa 🐒

hata hivyo,
tayari viongozi wa kisekta wapo field kuhakikisha kila kitu kinatatuliwa na kiko sawa, nadhani wew mwenyewe ni shuhuda, kwenye maboresho na marekebisho yaliyofanywa na mkuu wa nchi jana, shirika unalolitolea mfano kua na changamoto limeguswa na mabadiliko pia 🐒

so,
hayupo wa kuzuia wala kudhoofisha kampeni yoyote dhidi ya comrade Dr SSH kuongoza tena muhula ujao kwa kishindo zaidi 🐒
Samia ni Dr wa kitu gani?

Unaweza kutuelezea tasnifu yake ilikuwa inahusu nini?
 
Ndugu zangu,

Nimekusudia kwa mapenzi mema na moyo mkunjufu kufanya kampeni maalumu itakayokwenda Kwa jina la 2025 MPE MAMA TABASAMU. Kampeni hiyo itakuwa na malengo kuu matatu

Lengo la kwanza, kufikisha ujumbe maalumu kwa watu wote, nikielezea kazi na mafanikio ya CCM na Rais Samia. Lengo hili litakwenda sambamba na kuutaka Umma kuwa wavumilivu maana tunaelekea nchi ya Ahadi.

Lengo la pili, kukisaidia Chama Cha Mapinduzi Kwa ushauri, maoni na mapendezo ili Kwa pamoja tutekeleze kampeni hii ya 2025 MPE MAMA TABASAMU. Naomba Chama changu mnipokee niwasaidie kwenye eneo hili.

Lengo la tatu, kuwaomba wananchi Kwa nini 2025 tunatakiwa TUMPE MAMA TABASAMU. Kulingana na kazi kubwa, nzuri na ya kupigwa mfano kama sehemu ya shukrani na fadhila hatuna budi kumpa TABASAMU. MPE MAMS TABASAMU Kwa kumpa ushindi wa kishindo na kukipa ushindi wa kishindo Chama Cha Mapinduzi.

Kwa pamoja, tuungane kutekeleza kampeni hii ya 2025 MPE MAMA TABASAMU. naamini tutakuwa pamoja.

Karibuni maana kampeni hii nakusudia imfikie Kila mtu hususani mwenye umri wa kupiga kura. vijana, wazee, wakina baba ,wakina mama karibuni Kwa kampeni ya 2025 MPE MAMA TABASAMU

Ahsanteni.
KUNA BILLIONS OF MONEY FROM ABDUL
 
Nduu gay... Ndu gay...! Nchi inauzwa....inauzwa aa! Hela za Abudul hela za mama Abudul na Abudul...!
 
Nimekusudia kwa mapenzi mema na moyo mkunjufu kufanya kampeni maalumu itakayokwenda Kwa jina la 2025 MPE MAMA TABASAMU. Kampeni hiyo itakuwa na malengo kuu matatu

Lengo la kwanza, kufikisha ujumbe maalumu kwa watu wote, nikielezea kazi na mafanikio ya CCM na Rais Samia. Lengo hili litakwenda sambamba na kuutaka Umma kuwa wavumilivu maana tunaelekea nchi ya Ahadi.
Je wanao, nduguzo na jirani zako wana tabasamu?
 
Wewe unajua kabisa kuna kosa lilifanyika kumpa nafasi raia wa nchi ya kigeni (ya Zanzibar) kutawala nchi yetu ya Tanganyika Kwa jina la "muungano fake", yet bado wewe unaanzisha kampeni ya kipuuzi ya kufagilia kosa hilohilo liendelee kufanyika?

Au na wewe ni Mzanzibari na hivyo unamfagilia Mzanzibari mwenzako?

This is my polite advise to you. Please, remove this rubbish from JF screen server immediately.

Hatuhitaji ujinga huu. Sisi hatuhitaji kuendelea kuwa wajinga zaidi wakati tayari tulishajua makosa yako wapi ya shida na taabu inayopitia nchi yetu..

Tunataka Mtanganyika awe Rais wa Tanganyika bila kujali atatoka chama gani. Lakini huyu mwanamke Tena raia wa kigeni, IT'S A BIG NO!!
Sawa. Apewe Nani?
Mtaje hapa kama unaye mfukoni
 
Back
Top Bottom