Leo ndo ufunguzi wakampeni,kwa chama cha mapinduzi,sherehe imenoga sana,ila maudhui ya sherehe yamekuwa tofauti kwakuwa kauli zilizo 2mika,nadhani zimekuwa kali sana,naomba usahihi wamaneno mengi aliyo yasema makongoro nyerere,kumvaa mh,sumaye nisahihi?maneno aliyo yatoa mzee mkapa yanaelewa kweli?kwa wakati huu?naomba mchango wenu wana jf.