Habari za siku nyingi wakuu,
Nilikuwa busy sana na majukumu ila sasa nimepata likizo kidogo. Nahitaji kampani ya mdada mzuri anayejiheshimu, ya kupata lunch/dinner pamoja na kuongea mambo mawili matatu ya msingi. Mie sinywi pombe wala sivuti, kama unakunywa na kuvuta naweza shindwa kukaa na wewe. Asiwe na miaka zaidi ya miongo 3. Mie nipo Dar maeneo ya Kurasini.
Nipm kama huwezi kufunguka hadharani kama mimi.