Kampala iko wapi?

Kampala iko wapi?

Mtanzanika

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
2,389
Reaction score
1,131
Mtoto:Baba mi siendi tena shule,ticha kaniambia mpaka nimtajie Kampala iko wapi.

Baba:unaona sasa!mara ngapi we mtoto nakukataza kuchezea vitu vya watu,haya Kampala ya mwalimu umeiweka wapi..khaa?!!
 
hahaha, hapo inabidi mtoto amtoe dingi upepo ampe hela akanunue kampala amlipe mwalimu,
 
Hahahaaaa.... Mi ngoja nisome nisijeumbuliwa na mwanangu.. Shule muhimu aisee..
 
Back
Top Bottom