Kampala iko wapi?

Mtanzanika

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
2,389
1,131
Mtoto:Baba mi siendi tena shule,ticha kaniambia mpaka nimtajie Kampala iko wapi.

Baba:unaona sasa!mara ngapi we mtoto nakukataza kuchezea vitu vya watu,haya Kampala ya mwalimu umeiweka wapi..khaa?!!
 
hahaha, hapo inabidi mtoto amtoe dingi upepo ampe hela akanunue kampala amlipe mwalimu,
 
Back
Top Bottom