Crazy genius
Member
- Apr 26, 2016
- 44
- 34
Wakuu siku ya ufunguzi wa daraja la Kigamboni niliona kamera wanapiga picha na kumpatia picha mteja papo hapo nikaona hata mimi inafaa nikimnunulia mdogo wangu bush hana issue tafadhali mimi si mtaalamu wa mambo haya kwa anayejua.
1. Aina ya kamera hiyo na bei yake
2. Wapi hapa bongo zinapatikana
Anisaidie nimwinue dogo maana kule bado kuna negative za kodak, asanteni.
1. Aina ya kamera hiyo na bei yake
2. Wapi hapa bongo zinapatikana
Anisaidie nimwinue dogo maana kule bado kuna negative za kodak, asanteni.