Kamechisha Toka Juu hadi Chini

chezeya !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mbona ngozi hajamechisha tujue kweli yuko vizuri?
 
Yaani nimecheka mpaka basi!!!!!!!!

Tiba
 
huyu kiaina hadi damu yake ni ya kijani. Maskini asijue kwamba vyama vyote ni tumbo street
 
Bibi yuko njema!
Hataki maskhara hata kidogo
 
Ukitaka akubadilishe jinsia mwambie ccm ni majambazi!
Halaf nackia huyo bibi ni mkurugenzi wa green guard kanda ya huko.
 
in the name of chama cha mapinduzi's fashion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…