Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,427
Serikali ya Kenya imeamua kwamba hizi refugee camps zitafungwa by June 2022. Hizi refugee camps zina watu takriban 500,000. Akina Ilhan Omar ambaye ni house representative wa Minneapolis, Minnesota na Wasomali wengine mashuhuri kama Halima ambaye ni supermodel wamepitia kwenye hizi refugee camps. Story hii imefika CNN