Kambi ya upinzani inafanyaje kazi

Haika

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,348
559
Nimeona jinsi ambavyo CDM watu tumeshabikia kwa kukubaliana au kutofautiana na CDM kwa kugoma kushiriki mchakato huu.
Hata mie nilikuwa moved wakati ule,

lakini baadae nikawa najiuliza
je hiki ni kitu gani?
kinafanyaje kazi?
kina nani hasa wanahusika?
wanalipwa? au kuna baadhi wanajitolea?
kinasaidiaje agenda zetu za kimapinduzi?
je kuna mbadala wake?
athari zake ikiwa kuna kiongozi au member aliepandikizwa na hawa wenzetu wasiopenda wananchi?
 
Back
Top Bottom