Kambi ya Lowassa yachanganyikiwa

Habari nilizozipata hivi punde kutoka mtu wa karibu na Shabani Ngurumo ni kwamba anawekwa JANUARY MAKAMBA.Mimi ni mtu wa kaskazini na niko upande wa LOWASSA na nina taka yeye apitishwe.
 
Ni lini atatoka msaliti mmoja kutoka ccm awaumbue mafisadi wote wa ccm??..hawana hata huruma na watu wa nchi hii..wako watu wanakufa kisa kukosa matibabu lakini wakati huo huo yuko mtu wa ccm anaiba bilioni kwenye mfuko huo huo wakutibia wagonjwa??? Wao waliumwa utaskia kapelekwa south Afrika kupata matibabu tena kwa kodi aliyotoa huyo mgonywa anaekufa kisa umekula hela ya matibabu....ni lini hii nchi itabadilika??

Hamwoni huruma kwa wazee wa hii nchi mmewatelekeza na kuangalia wale wafamilia yenu??

Watoto wenu wakasomee nje...halafu mtwambie elimu bora Tanzania..kwanini kama ni bora watoto wenu wasiende kisomea hizo shule mnazojengea wananchii.....


Ila naamini hakuna marefu yasiyo kua na ncha..mwisho wa ccm umekaribia
 
wamekuwa wakijigamba kwamba hakuna ‘mpuuzi’ yeyote anayeweza kukata jina la Lowassa na wamekuwa wakitoa matusi ya nguoni dhidi ya Rais Jakaya Kikwete na familia yake.



huu msitari nimeupenda
 
wamekuwa wakijigamba kwamba hakuna ‘mpuuzi’ yeyote anayeweza kukata jina la Lowassa na wamekuwa wakitoa matusi ya nguoni dhidi ya Rais Jakaya Kikwete na familia yake.



huu msitari nimeupenda

Ukiwa mnafiki katika ujana uzeeni lazima uwe mchawi.
 

mbona hata ww ni mwongo vilevile
 
Lowasa akiwa raisi Mi ntahamia Sudan ya kusini
 
Acha ujinga na upumba.v.u mtoa mada,lowassa kaiba wapi leta ushahidi mkileta ujinga na majungu yenu.tutawachia chama icu na uraisi tumemebeba mazima.wehu ninyi mtaumia mmepiga escrow lowassa yu wapi?mmepiga richmond mbwa ninyi.mwacheni mzee akamate ndinga hata wiki tu.
 
Lowassa ni tumaini la watanzania wengi kwa sasa huwez kumlinganisha na watu wanaotaka kujifunza uongoz,
 
Hata mke wake haamini kuwa el anaweza kuwa mkuu wa kaya lkn nyie povu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…