Kambi ya Lowassa yachanganyikiwa

ARUSHA na mikoa yote iliyopo juu ya RELI bado wanamkubali huyu Bwana.Hata kwenye jirani ya Kenya anakubalika sana na kabila la Wamasaai.Uwezekano bado ni mkbwa saana wa EL kuteuliwa na chama.


acha uongo jamaa ni mwizi kama chenge hakuna cha kuondoa umaskini wala nini, kapewa u pm akapiga richmond akipata urais nchi imekwisha, mm niko mkoa ulioko juu ya reli lakini unalolisema halipo.
 
Lowassa kamwe hawezi kua rais wa Tanzania.fisadi mkubwa mroho wa madaraka..
 
Lowassa kamwe hawezi kua rais wa Tanzania.fisadi mkubwa mroho wa madaraka..

Achilia mbali maneno ya mtaani tukiomba ushaidi wa kuaminika kutoka kwako kuhusu hiyo kauli yako ya ufisadi utakua nao?
 
Achilia mbali maneno ya mtaani tukiomba ushaidi wa kuaminika kutoka kwako kuhusu hiyo kauli yako ya ufisadi utakua nao?

Nina ushahidi mkuu kuanzia mwaka 2013 na 2014 ametumia zaidi ya tsh.za kitanzania Bilioni moja kuhonga makundi mbalimbali ya dini ,bodaboda,vicoba mpaka chama chake cha ccm kikaingilia kati akaambiwa atoe maelezo mpaka sasa tunasubiri maamuzi ya chama.na hii siyo siri watanzania wanajiuliza huyu mtu atarudisha vipi hizi fedha?kwa kifupi hatufai hata kidogoo.
 
una hoja nzuri swali langu ni hli
je lowasa anaweza kupambana na mgombea wa ukawa???
 
Na bado! raisi ajaye atakuwa ni chaguo la Mungu! CCM ina watu makini na waadilifu wasio na kashifa hata ya peremende! Mwenyezi Mungu tupe Raisi Anaye jari utu na utanzania wetu!
 
lowasa ni mkongwe kwenye sirikali hii!! ndio waliochakachua rasimu ya walioba!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…