Hivi hawa wanajeshi mbona machoni wanajitukuza kwa wema na kumbe wamejaa hira na roho za kutu kiasi hiki?kwanini wanaona kana kwamba wao wako juu ya katiba mama ambayo inazuia mtu ama kundi lolote kujichukulia sheria mikononi,si g/mboto,kunduchi,sasa kaboya,hivi ni kweli jeshi liko juu ya sheria? ama mbele ya jeshi wananchi hawana sauti?sasa hli jeshi la wananchi ama la kidikteita