Kambi ya jeshi kutekwa sijaamini kabisa

Kambi ya jeshi kutekwa sijaamini kabisa

samakinchanga

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2014
Posts
2,024
Reaction score
1,237
Ni huko Nigeria nchi yenye jeshi kubwa,Vifaa vya vita vya kisasa,uchumi mkubwa Africa baada ya south Africa ila tu hawalali hawali vizuri kisa bokoharam.watoto wa kike 200hawajapatikana tangu April 2014 .mi sielewi hiyo na imenikera sana.labda mnijulishe mnaofahamu
 
uwoga ni ugonywa mbaya sana ningekuwa mm ni raisi wa Nigeria saizi kungekuwa hukuna kitu ambacho kinaitwa boko haram
 
Kichwa cha hii habari hakiendani na ulicho andika.
tunajua kuna watoto waliotekwa 2014 na kama unafuatia hii taarifa vizuri
leo hii (jumamosi) mtoto wa kike ( suicide bomber)ambae ana miaka kumi tu
ameua watu kumi na sita na wengine zaidi ya 20 majeruhi. SIJAONA MAHALI POPOTE
KUHUSU KAMBI YA JESHI KUVAMIWA .weka link tusome wenyewe kambi imevamiwa mji gani
na wamepoteza nini?

link ya nilichoandika kuhusu a girl suicide bomber....

BBC News - Nigeria market blast: At least 16 dead in Maiduguri
 
uwoga ni ugonywa mbaya sana ningekuwa mm ni raisi wa Nigeria saizi kungekuwa hukuna kitu ambacho kinaitwa boko haram

Mkuu Huwa boko haram wanajificha kwenye msitu unaoitwa "Sambisa forest"
ambao eneo lake ni takribani 60,000 square kilometres. ni eneo kubwa sana
na hao jamaa walijipanga sana kama ya kuingia humu. Kuingia kichwa kichwa tu
mtamalizwa wote. Na kumbuka hili eneo liko north,East mwa Nigeria na vijiji
vinavyo vamiwa sana sana ni ya maeneo hayo Kano, Gombe,Jigawa,Borno, Yobe etc.

Kinachotakiwa ni Jeshi kuu la nchi hiyo kuingilia na kuwasaidia hawa
wa miji hiyo midogo midogo na kujipanga haswa.

Mwisho wa siku wanaojua eneo hilo lilivyo (Boko haram) ni rahisi kwa wao
kujificha na kupambana na kushinda . we huo wa Taliban mpaka kesho kutwa bado
wanapigana na Wamerakani wameshindwa kuwa maliza. Na Marekani ni nchi yenye jeshi
kubwa kuliko. Ni sababu hiyo tu wanajua maeneo yao vema.

Siku nyingine usikurupuke tu.
Ni rahisi kusema kuliko kutenda.
 
Ni kweli kambi ya Jeshi la Nigeria huko Borno ilitekwa early January.
BBC News - Boko Haram seizes army base in Nigeria town of Baga
Jeshi la Nigeria lipo corrupt and not well taken care of, with a lotta factions
http://youtu.be/LXzBGfMAk8U
 
afrodenzi

Hata hivyo ningeufyeka fyeka msitu wote chini!! Yaani ndege, vifaru, magari, wa miguu na hata meli kama ingebidi!!

Hivi hawa jamaa wanapata msaada wa kijeshi kutoka wapi?? Maana hizo silaha haziishi kila kukicha it meanz kuna msaada usiokoma wa kijeshi. Pia na nahisi ndiyo maana hata rais Jonathan hapambani nao kiviile labda kuna kitu wanakijua kwamba hawawezi kuwashinda au uwepo wa hilo kundi una maslahi kisiasa.
 
Last edited by a moderator:
nimekimbilia kufungua huu waya nimekutana na u.pu.pu, mana heading haiendani na content, mod siku nyingine mkiona hivi ili kupunguza ujazaji wa server mnachinjilia mbali siredi
 
afrodenzi

Hata hivyo ningeufyeka fyeka msitu wote chini!! Yaani ndege, vifaru, magari, wa miguu na hata meli kama ingebidi!!

Hivi hawa jamaa wanapata msaada wa kijeshi kutoka wapi?? Maana hizo silaha haziishi kila kukicha it meanz kuna msaada usiokoma wa kijeshi. Pia na nahisi ndiyo maana hata rais Jonathan hapambani nao kiviile labda kuna kitu wanakijua kwamba hawawezi kuwashinda au uwepo wa hilo kundi una maslahi kisiasa.

hahahahahahaah duhhhhh
Na wanyama pori wataishi wapi dear ukifyeka msitu wote chini.

Next minute utaona kwenye CNN, au BBC "Wanageria wameua simba wote kwenye
msitu wa Sambisa. wanaanza kukuletea "Animals right" hahahah lol

Anyway kuna jamaa hapo juu amesema jeshi la Nigeria liko corrupt
kupita kiasi.

Na wazo lingine ni kwamba wanawafadhili kutoka nje na hapo ndani, watu
ambao wanaamini na wanachokifanya. Dunia imeharibika my dear.
 
Last edited by a moderator:
Nilishangaa sana kuona Millitary base inatekwa.Kwa kweli hata nchi yetu Tz haiwezi kuruhusu kitendo cha namna hiyo.Hivi what is happening in Nigeria?Naona govt haijishughulishi kabisa kuwadhibiti Boko Haram.
 
Linawezekana wana maslahi nalo hilo kundi!! Si unajua serikali zetu Africa zilivyo hovyo
 
The US Central Intelligence Agency has created and funded Boko Haram, a Takfiri group that abducted about 300 Nigerian girls last month, says American analyst Randy Short.Boko Haram "is a CIA-created and funded group," Short said, adding the group's "weapons come from Libya. We know that the commander of the so-called Libyan revolutionary forces, Mr. (Khalifa) Hifter was trained by the CIA." Speaking in an interview with Press TV on Thursday, Short said the United States aims to break down Nigeria into a micro state."There is larger scheme by the Angelo American white supremacist imperialistic power complex to break down the state they have invented in colonial eras for their purposes," he said.

President Barack Obama said on Wednesday the US has deployed dozens of troops to Chad to help locate the kidnapped schoolgirls in neighboring Nigeria.However, Short said the US already has troops in the region. "There are thousands of American personnel already there, this has been going on for a while, the whole purpose is to destroy Nigeria."
"Mr. (Zbigniew) Brzezinski, who is Obama's advisor for Africa along with Ms. Susan Rice wanted to break Africa to micro states," he said. "They don't give a damn about black women…they've been working to destroy the Nigerian state for decades, they don't care anything about those girls," he noted.According to senior American defense officials, the US military is using spy drones as well as manned aircraft over Nigeria to locate the girls who were abducted on the night of April 14th in a small town in northeastern Nigeria.AT/AGB

Source: PressTV-Boko Haram 'created and funded by CIA'

The US Central Intelligence Agency has created and funded Boko Haram, a Takfiri group that abducted about 300 Nigerian girls last month, says American analyst Randy Short.Boko Haram “is a CIA-created and funded group,” Short said, adding the group’s “weapons come from Libya. We know that the commander of the so-called Libyan revolutionary forces, Mr. (Khalifa) Hifter was trained by the CIA.” Speaking in an interview with Press TV on Thursday, Short said the United States aims to break down Nigeria into a micro state.“There is larger scheme by the Angelo American white supremacist imperialistic power complex to break down the state they have invented in colonial eras for their purposes,” he said.

President Barack Obama said on Wednesday the US has deployed dozens of troops to Chad to help locate the kidnapped schoolgirls in neighboring Nigeria.However, Short said the US already has troops in the region. “There are thousands of American personnel already there, this has been going on for a while, the whole purpose is to destroy Nigeria.”
“Mr. (Zbigniew) Brzezinski, who is Obama’s advisor for Africa along with Ms. Susan Rice wanted to break Africa to micro states,” he said. “They don’t give a damn about black women…they’ve been working to destroy the Nigerian state for decades, they don’t care anything about those girls,” he noted.According to senior American defense officials, the US military is using spy drones as well as manned aircraft over Nigeria to locate the girls who were abducted on the night of April 14th in a small town in northeastern Nigeria.AT/AGB

Waislam wanachekesha kweli mavitu yao wanaosimuliana na kuyaamini hahahaa.
 
Qur'an inavuruga ubongo.alaaniwe alieileta
 
afrodenzi

Hata hivyo ningeufyeka fyeka msitu wote chini!! Yaani ndege, vifaru, magari, wa miguu na hata meli kama ingebidi!!

Hivi hawa jamaa wanapata msaada wa kijeshi kutoka wapi?? Maana hizo silaha haziishi kila kukicha it meanz kuna msaada usiokoma wa kijeshi. Pia na nahisi ndiyo maana hata rais Jonathan hapambani nao kiviile labda kuna kitu wanakijua kwamba hawawezi kuwashinda au uwepo wa hilo kundi una maslahi kisiasa.

Au unaupiga kiberiti msitu wote
 
Last edited by a moderator:
The US Central Intelligence Agency has created and funded Boko Haram, a Takfiri group that abducted about 300 Nigerian girls last month, says American analyst Randy Short.Boko Haram "is a CIA-created and funded group," Short said, adding the group's "weapons come from Libya. We know that the commander of the so-called Libyan revolutionary forces, Mr. (Khalifa) Hifter was trained by the CIA." Speaking in an interview with Press TV on Thursday, Short said the United States aims to break down Nigeria into a micro state."There is larger scheme by the Angelo American white supremacist imperialistic power complex to break down the state they have invented in colonial eras for their purposes," he said.

President Barack Obama said on Wednesday the US has deployed dozens of troops to Chad to help locate the kidnapped schoolgirls in neighboring Nigeria.However, Short said the US already has troops in the region. "There are thousands of American personnel already there, this has been going on for a while, the whole purpose is to destroy Nigeria."
"Mr. (Zbigniew) Brzezinski, who is Obama's advisor for Africa along with Ms. Susan Rice wanted to break Africa to micro states," he said. "They don't give a damn about black women…they've been working to destroy the Nigerian state for decades, they don't care anything about those girls," he noted.According to senior American defense officials, the US military is using spy drones as well as manned aircraft over Nigeria to locate the girls who were abducted on the night of April 14th in a small town in northeastern Nigeria.AT/AGB

Source: PressTV-Boko Haram 'created and funded by CIA'

shocking news..
 
afrodenzi

Hata hivyo ningeufyeka fyeka msitu wote chini!! Yaani ndege, vifaru, magari, wa miguu na hata meli kama ingebidi!!

Hivi hawa jamaa wanapata msaada wa kijeshi kutoka wapi?? Maana hizo silaha haziishi kila kukicha it meanz kuna msaada usiokoma wa kijeshi. Pia na nahisi ndiyo maana hata rais Jonathan hapambani nao kiviile labda kuna kitu wanakijua kwamba hawawezi kuwashinda au uwepo wa hilo kundi una maslahi kisiasa.

kwenye WW2 wanaume walipigana kwenye misitu mikubwa sana huko Burma. mbona US waliingiz Vietnam?
 
Qur'an inavuruga ubongo.alaaniwe alieileta

Nikwambie kitu, uungwana ni jambo la bure kabisa haligharimu chochote kulifanya!! Kukashifu imani za wenzio si jambo jema, cha msingi tuangalie hapa tulipo!!

Nina imani kubwa unaishi Tanzania toka umezaliwa majirani zako ni hao hao Waislam wanaoamini Quraan!! Uliwahi kugombana nao sababu ya imani yao???

Hilo likufanye ugundue kuwa huko wanakopiagania imani kuna tatizo zaidi ya Quraan na Uislamu ni kivuli tu cha kuhalalisha mambo yao!!

Kama ni ukatili ingia kwenye historia uone ukatili wa kidini ulianza lini na nani aliufanya!! Huu ni mwendelezo tu watoto wa mjini wanasema kwa zamu
 
Back
Top Bottom