Kuna investigative journalist mmoja raia wa Australia alifanya uchunguzi kuhusu Boko...na aliweza kuingia msituni kuwaoji ...
Alimtaja politician mmoja (jina nimesahau) bilionea kuwa ndio anaye wa finance...na anatokea huko huko wanakovamia daily ila yeye hajawai hata kuvamiwa...
Jamaa akaitisha press conference na kuanza kulia kuwa amesingiziwa na atamshtaki huyo mwandishi kudai fidia...
Mwandishi akajibu kuwa na yeye angependa huyo jamaa aende mahakamani ili ukweli ujulikane...
Mpaka kesho hajaenda...na Wapopo walisema asipoenda mahakamani basi kweli...
Kilichpfuata baada ya siku chache eti gari yake ikavamiwa na Boko na kupigwa risasi...
Watu wakakataa kuwa aache maigizo...hajawai vamiwa na Boko hata siku moja mpaka ripoti ya huyo mwandishi imetoka ndio anajidai kuwa hata yeye anavamiwa...
Hakuna kitu kibaya kama rushwa...
Nigeria ina rushwa ya hali ya juu...Boko ni zao la wanasiasa waliojitajirisha kwa rushwa...na ndio wanaow finance...
Kama kuna nchi za west nazo zinfadhili siwezi kataa...lakini itakuwa through hao wanasiasa...si unajua west wanafurahia nchi zenye rushwa ili makampuni yao yaibe vizuri...discipline ya Nigeria (na nchi nyingine Africa zenye utajiri wa gas au madini) ni kilio kwa west...ndio maana rushwa haitaisha...
Na kingine Nigeria ina udini sana uliochanganyika na ukanda...ndani ya jeshi si ajabu kuna mgawanyiko...unaweza kuta hata jeshi halina nia ya kuwamaliza Boko...wakubwa wake nao ukute wako kwenye mtandao...maana iweje walikuwa wanawa deploy wanajeshi kupambana na BH bila kuwapa silaha za maana... kama si njama ni nini? Ndio sababu wanajeshi wakaanza kugoma na kuukumiwa vifo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.