Watu wapo mpaka Bungeni na wana wawakilishi wao unasema hawahusiani na serikali ya Lebanon?!Mkuu kuna tofauti ya institution and political millitant group.
Kuna tofauti na taasisi na kundi la wanamgambo la kisiasa.
Hizbollah wanajihusisha na siasa za pale Lebanon km ilivyo Houth tu lakini wale wanafadhiliwa na Iran.
Pesa unazoziona zinawaletea jeuri Hizbollah na silaha zinazowaletea jeuri Hizbollah ni za Iran.
Hizbollah haisimamiwi na serikali ya Lebanon bali inajihusisha na harakati za serikali ya Lebanon.
Tuletee ushahidi Mkuu akiwa anaenda hapo kituoni kutoa Habari (naomba link)Mtu anayejificha ficha anaweza rusha matangazo ktk vyombo vya habari????
Yule ni kama Ossama Bin Laden kuishi ktk kambi za maficho ni kawaida ila sio km anajificha.
We daily anaenda kituo chao cha tv pale Lebanon kutoa maneno ya vitisho kwa Israel unamjua mtu anayejificha kaka????
Mtu km Gaddafi ndiye aliyekua anajificha yan hata mjini agusi.
Mkuu Israel hua anawashambulia Hamas kulipiza kisasi baada ya Hamas kurusha makombora ndani ya Israel.Mkuu ACHA ZAKO WEW PUNGUZA MAHABA.
JUZI KATI HAPA WALIRUSHA MAKOMBORA YALIYOWAATHIRI MPK WATOTO NA WAKAWATISHA MASHIRIKA YA MSAADA KWENDA KUTOA MSAADA KWA WAHANGA ILHALI HAMAS HAKURUSHA HT JIWE.
HAMAS ANA MIEZI KIBAO HAJAISHAMBULIA ISRAEL LAKINI ISRAEL WANAWAUA HAMAS MPK RAIA WA KAWAIDA WAKISINGIZIA KUWA WANATISHIA KUWASHAMBULIA KUMBE NI UONGO.
PUNGUZA MAHABA BASI.
HAMAS NA PALESTINES HUWA WANAONEWAGWA BURE SANA AISEE YAN JAMAA AKIJISKIA KURUSHA MAKOMBORA ANARUSHA TU PASI NA KUCHOKOZWA.
Huo msaada wa Qatar kwa Gaza bila ruhusa ya Israel hauingii pale,unalijua hilo?!Hata Bahrain na Qatar ni washirika wa Israel lakn Qatar anamuunga Iran ktk mambo yake kuliko Israel.
Qatar ambae anai recognize Israel km Pakistani anavyotaka kufanya anaisaidia Hamas kifedha walijua hilo kaka mkubwaaa???
Kutaka kushirikiana sio tatizo.
Tatizo je mtakua really allies km kutakua kuna hypocrisy km anayofanya Qatar???
Marekani haijakataza Iran isiuze mafuta ila inadeal na Wateja wa hayo mafuta ndio maana atakaenunua ameambiwa atawekewa vikwazo.Bolton Says Iranian Oil Tanker Now In Syrian Port
Kama vikwanzo ni vikali kuliko vyote mbona bado wanauza mafuta! Hawa jamaa siwaelewi!!!
Sasa Mbna Wanauza Kama Hii Meli Si walitoa warant yakwamba ikamatweMarekani haijakataza Iran isiuze mafuta ila inadeal na Wateja wa hayo mafuta ndio maana atakaenunua ameambiwa atawekewa vikwazo.
Kwahiyo ni uamuzi wao,wanunue wapewe sanctions au waache ili wabaki salama. Ni maamuzi yao!!!!
Bro naona hujanielewa.Watu wapo mpaka Bungeni na wana wawakilishi wao unasema hawahusiani na serikali ya Lebanon?!
Kufadhiliwa na Iran wala haina shida maana hata vyama vyetu hapa nchini vinasaidiwa na nchi rafiki mfano Chadema inapewaga misaada na German na Ccm na CCP. Je huo msaada unatumika inavyotakiwa,lakini Hezbollah wanatumia misaada kutengeneza silaha!!
Na sasa baada ya vikwazo vya US kurudishwa ufadhili wa Iran kwa makundi yake umepungua kwa kiasi kikubwa,yeye mwenyewe tu hana fedha,shilingi yake imeshuka thamani kwa zaidi ya 60%, uchumi unaangamia.
Iran ilitumia mamilioni ya Dola kujenga mahandaki ambayo yangetumika na Hezbollah kuingia Israel wakati wa vita kumbe Israel kipindi chote walikua wanawaangalia tu wakisubiria yakamilike ili wayabomoe,na kweli mahandaki yamekamilika kabla hata hawajayatumia wayahudi wakayabomoa yote. Na hakuna kitu ilichothubutu kuwafanya Israel.
Bro hayo maneno ht ktk khanga yapo yavaliwa.Huo msaada wa Qatar kwa Gaza bila ruhusa ya Israel hauingii pale,unalijua hilo?!
In November, Qatar pledged to send $15 million to Gaza monthly as part of an informal agreement between Israel and Gaza's Islamist rulers Hamas.
Under that deal Israel allowed the grants to go through its territory in exchange for relative calm on the Gaza border.
Mkuu China,Russia wananunua mafuta ya Iran.Marekani haijakataza Iran isiuze mafuta ila inadeal na Wateja wa hayo mafuta ndio maana atakaenunua ameambiwa atawekewa vikwazo.
Kwahiyo ni uamuzi wao,wanunue wapewe sanctions au waache ili wabaki salama. Ni maamuzi yao!!!!
Jamaa ana hangaika 2 ana hisi WAYAHUDI Wapuuzi kiasi kwamba wakubaliane na Qatar Kuwapelekea Fedha Hamas Ambazo Wanazitumilia kwa mambo mengi ikiwemo wanayosema Israel kwamba Ugaidi Pamoja Na Kutengenezea Silaha Kwapesa Hizo Ambazo Zinautesa Utawala Wakizayuni Kisiasa Kiuchumi NakijeshiBro hayo maneno ht ktk khanga yapo yavaliwa.
Hela za Qatar zinaenda kwa Hamas daily mkuu na hilo halipingiki.
Labda wanajaribu kuzuia ila hawawez kuzuia hela zisiwafikie Hamas .
Me mwenyewe nashangaa Mkuu.Jamaa ana hangaika 2 ana hisi WAYAHUDI Wapuuzi kiasi kwamba wakubaliane na Qatar Kuwapelekea Fedha Hamas Ambazo Wanazitumilia kwa mambo mengi ikiwemo wanayosema Israel kwamba Ugaidi Pamoja Na Kutengenezea Silaha Kwapesa Hizo Ambazo Zinautesa Utawala Wakizayuni Kisiasa Kiuchumi Nakijeshi
Kunamambo Yanachekesha sana kiukwwli Yaani Basi wayahudi watakua hawana akili kabisaaa kama ni hv
Kina nani wanatulizwa Mkuu embu toa ufafanuzi??mkuu @zekokuyo,,israel huwa anaruhusu pesa za qatar ziingie gaza ili kuwatuliza maana wakiwaacha bila kuwapa pesa kitanuka mda wotte na wanaweza kuingia israel kwa nguvu,,sasa nikuulize msaada wa iran kuja kwa hamas,huko Gaza hupitia wapi?
Duh basi hii ni belaa tena sio ndogo.Ni kuwa Gaza huwa kuna maandamano kila wiki na huwa yanatishia kuvuka mpaka,na hii hutokana na israel kuendelea kuiwekea gaza blockade na hivyo ajira zinakuwa shida,
israel wanajua kuwa ukikandamiza zaidi gaza watu wataamua liwalo na liwe na wataenda front,na israel haina uwezo wa kuzuia watu milioni 2 wa gaza kama wataamua kurise kikwelikweli,
sasa israel inakuwa haina jinsi bali kuruhusu magari ya vitu mbalimbali kama mafuta etc yaingie gaza,kumbuka Gaza iko blockaded,
hawa Qatar sawa wanaunga mkono Hamas,juu Hamas ni muslim brotherhood,
sasa Qatar kila mwezi anagawa pesa kwa kaya zaidi ya 60,000 za gaza,zinapewa dola 100,
bila hivyo watu watakuwa hawana alternative nyingine zaidi ya kuamua kupambana na israel
Hata nyie mtaisha 2 nisuala la wakati 2Hawa Irani mambuzi watakwisha asee
Dunia ipi hii inayopelekeshwa na israelwao si walisema miradi ya nyuklia ya iran itasmamishwa kwa gharama zozote zile hata kijeshi
Ss mbna wanaume wanapiga kazi 2
Iran ipo iran kijana haipo syria wala Iraq
Kama hawatarejelea katika makubaliano ya JCPOA Sidhanii kama wajamaa watarejelea wala kupendelea kktana nae na kamamajuzi hapa Trump anasema anatumaini watakutana na rais wa iran pindi akihudhuria mkutano wa UN, basi jumatatu Trump akatoa wazo walegeze vikwazo iran ili kumshawishi rais wa iran akutane na Trump,kwani Iran walishagoma tangu mwaka juzi rais wao kukutana na Trump, john Bolton akawaka kuwa haiwezekani vikwazo vilegezwe,Trump akamwambia achia ngazi