Duuhh! AnatishaNasema ziwani sio bwawaniView attachment 952381
Kambale sifa yake ni kutokuwa na magamba. Huyo ni aina ya tilapia aliyechanganya genes labda.Nasema ziwani sio bwawaniView attachment 952381
Huyo Kambare wako anawakilisha nini kwanza? Fasihi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Huwezi tumia dafu na ndimu kula kambaleTuachie dafu na ndimu
Mbona kichwa kama cha jiwe
Sio tanzania mkuuHapa tz kuna mtu anaitwa jiwe?
Duh! kambale ana bichwa kama jamaa wa chattle....Nasema ziwani sio bwawaniView attachment 952381
Na huku upo?Kitaalamu anaitwaje huyu samaki wakuu.
Nmewahi muona pia kwenye trailer za NatGeo-Wild channel