Kamazima Anatory atunaye tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamazima Anatory atunaye tena

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mukama talemwa, Sep 26, 2012.

 1. m

  mukama talemwa Senior Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huyu ni yule aliyekuwa DG wa kwanza wa kikosi cha kupambana na rushwa,na alikuwa askari wa cheo cha Gen kabla ya kuteuliwa kuwa mkuu wa pcb
   
 2. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  poleni sana wafiwa ......... kazi ya mungu haina makosa
   
 3. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  RIP Gen Mzee Kamazima. Ukumbukwe kwa utiifu na uaminifu wako kazini.
   
 4. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  R.I.P jirani, utakumbukwa kwa ucheshi wako na kujichanganya kwako na watu wa level zote kimaisha. Utumishi wako kazini utakumbukwa daima.
   
 5. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Rais Kikwete akitoa pole kwa mjane na ndugu wa Meja Jenerali Mstaafu Anatoli Kamazima leo nyumbani kwa marehemu Tegeta, Dar es Salaam.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za pole Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange kufuatia kifo cha Meja Jenerali Anatory Ruta Kamazima (Mstaafu) aliyefariki jana tarehe 25 Septemba, 2012 katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.  Kamazima.jpg
   
 6. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Rais Kikwete akiongea na Brigedia Jenerali Mstaafu Tindamanyire, ndugu wa hayati Meja Jenerali Mstaafu Anatoli Kamazima, leo nyumbani kwa marehemu Tegeta, Dar es Salaam. Kulia kwa Rais ni Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na Mnadhimu Mkuu, Luteni Jenerali, Samwel Albert Ndomba. Marehemu Kamazima, ambaye amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatano ya Tarehe 26 Septemba, 2012 kutokana na mshtuko wa moyo, alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa kwanza wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU).


  KAMAZIMA 2.jpg
   
 7. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Kibirizi wewe sio Kibilizi maana mimi Kibirizi naijua hakuna wajamja mtu kama wewe. Wewe ni Inside Man
   
Loading...