Majina ya Wajumbe wa Kamati za BungeView attachment 318371View attachment 318372View attachment 318373View attachment 318374View attachment 318375
Safii si kitu chepesi sana kumkosa mtu kama zitto kwenye uongoz wa hizi kamati za bunge, tuweke ushabiki wa vyama pemben jamaa anajitahid mnoLeo kutoka magazetini asubuhi nimesikia wakisema Spika atatangaza majina ya kamati za bunge, na nimeona Zitto Kabwe amepost FB kitu hiki:-
Zitto Kabwe
28 mins ·
Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii ndio Kamati nitakayohudumu katika Bunge la 11. Namshukuru Mheshimiwa Spika kwa uteuzi wake huu kwangu. Kamati hii inashughulika na Masuala ya Vijana, Michezo, Ajira, Elimu na Afya. Ni kamati muhimu sana. Nitaitendea haki na kuwatendea Haki Watanzania. Kazi iendelee
Mwenye majina kamili atuwekee hapa, au kama kuna uzi wa namna hii tuelekezane, nina hamu ya kujua PAC na LAC members ni kina nani, pia kamati ya Nishati na Madini.
PAC m/k lazima awe mpinzAniNa ile ya PAC imechukuliwa na akina naniiiiii
Tunataka uwajibikaji wa kamati na si majina ya nani yuko hapa na nani kawekwa pale kuanzia wenyeviti na wajumbe wao.
Alafu hivi ni kwanini mtu ashukuru kupewa uenyekiti wa kamati fulani badala ya kufikiria mzigo aliobebeshwa?
Si bure kwenye hizi kamati kuna kitu.
Kijana hzo ni chuki zako binafsi,ukizungumzia siasa za Tz ukasahau kumtupiamo Zitto zuberi Kabwe Ruyagwa KIGOMA,ujue huna weledi juu ya maswala ya Siasa za Tz!!!Ningeshangaa sana kama huyu kibaraka aliewaharibia akina Mkosamali na Machali... Hakika Mrema amepata Mbadala ...
Tatizo Lake undumilakuwili na usaliti.Kijana hzo ni chuki zako binafsi,ukizungumzia siasa za Tz ukasahau kumtupiamo Zitto zuberi Kabwe Ruyagwa KIGOMA,ujue huna weledi juu ya maswala ya Siasa za Tz!!!
Ahsante,Kijana anastahili saana kupata kamati mojawapo ndani ya bunge,mpaka hapo tu,tuliokua hatuijui kamati hyoo nao tumepata kujua japo jina!!!mwanzo mzuri Mwami Ruyagwa!!!!Safii si kitu chepesi sana kumkosa mtu kama zitto kwenye uongoz wa hizi kamati za bunge, tuweke ushabiki wa vyama pemben jamaa anajitahid mno
Hakika!!Ahsante,Kijana anastahili saana kupata kamati mojawapo ndani ya bunge,mpaka hapo tu,tuliokua hatuijui kamati hyoo nao tumepata kujua japo jina!!!mwanzo mzuri Mwami Ruyagwa!!!!
hongera sana mhe. zzk, nakutakia kila la heri katika kutekeleza majukumu yako katika kamati ya huduma na maendeleo ya jamii. spika hakukosea. you're young, vocal, energetic, dynamic and a genious. usijibizane na mijitu yenye elimu ya hapa na pale isije ikawa tukashindwa kuona tofauti. wewe ni wa matawi ya juu. kazi njema.Leo kutoka magazetini asubuhi nimesikia wakisema Spika atatangaza majina ya kamati za bunge, na nimeona Zitto Kabwe amepost FB kitu hiki:-
Zitto Kabwe
28 mins ·
Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii ndio Kamati nitakayohudumu katika Bunge la 11. Namshukuru Mheshimiwa Spika kwa uteuzi wake huu kwangu. Kamati hii inashughulika na Masuala ya Vijana, Michezo, Ajira, Elimu na Afya. Ni kamati muhimu sana. Nitaitendea haki na kuwatendea Haki Watanzania. Kazi iendelee
Mwenye majina kamili atuwekee hapa, au kama kuna uzi wa namna hii tuelekezane, nina hamu ya kujua PAC na LAC members ni kina nani, pia kamati ya Nishati na Madini.
Majibu yake kwa Haki Elimu,so ni MJUMBE TU WALA SI KIONGOZI WA KAMATI HUSIKALeo kutoka magazetini asubuhi nimesikia wakisema Spika atatangaza majina ya kamati za bunge, na nimeona Zitto Kabwe amepost FB kitu hiki:-